Recent content by mwapumbaj

  1. M

    Walimu tafadhali soma na usipuuze

    bungeni mkafanye nini?mi nashaur nenden wizaran bungen hamna mtu sasa hiv hakuna vikao pale
  2. M

    Askari trafik no. F 3652 anakula rushwa

    fuata sheria ungekua huna kosa angekudai nini?na km kweli umedaiwa rushwa takukuru wapo namba za simu zao zipo .achen majungu
  3. M

    Maandamano barabara ya Kawawa

    ukweli huo ni ugaidi mkubwa unaofanywa na taifa la israel dhidi ya wanyonge palestina.cha ajab hao wanaojidai wapinga ugaid wapo kimya.aibu kwa marekan na washirika wake
  4. M

    Kingsley Ugiagble,muuaji hatari anayelindwa na ikulu ya Tanzania

    tuwe makini na usalama wa nchi kama una taarifa fikisha sehemu sahihi acha kujikanyaga mara analindwa na ikulu mara unauliza km raisi ana taarifa
Back
Top Bottom