Recent content by mwanza

  1. M

    Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

    Mfumo wa kijeshi amiri jeshi mkuu Yuko katika utaratibu wa vyeo katika jeshi letu ambalo ndio chombo kikuu cha kijeshi na ndio utaratibu wa uniform na alama za amiri jeshi mkuu zipo, majeshi mengine yako chini ya jeshi kuu la nchi, majeshi ya polisi na magereza ni majeshi ya chini ambayo hayana...
  2. M

    Kanda ya Ziwa kuongoza vs Kaskazini walipo wenye akili; Upendeleo?

    Nchi hii wahaya ndio nawakubali ni vichwa nimekutana nao kuanzia primary mpaka chuo ni balaa
  3. M

    Angalizo kwa haters mkiona faya inamwagia maji ndege haijaungua ile ni salute msije humu kukurupuka inawaka moto

    Wakati wa Nyerere tulikuwa hatuna tv na ndege nyingi tulipewa misaada kama Ile tuliyopewa na malkia
  4. M

    Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

    Nimeifuatilia ndege toka inaondoka US mpaka inafika hapa hakuna sehemu ilisimama kujaza mafuta
  5. M

    Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

    Wewe ndio una matatizo ulizia hii ndege imeshuka wapi kujaza mafuta?
  6. M

    Ndege iliyonunuliwa na Serikali aina ya Boeing 787-8 Dreamliner imeondoka nchini Marekani, kutua nchini Oktoba 26 saa nane mchana

    Acha kudanganya watu hii ndege inaruka moja Kwa moja bila kusimama na kujaza mafuta nchi yoyote
  7. M

    Viongozi wenye dira ya maendeleo wapo Sochi kuchangamkia fursa wa kwetu yupo Chato

    Asikudanganye mtu Russia hakuna kitu itafanya Kwa Africa, huu sio mkutano WA kwanza wa Russia na viongozi wa Africa zaidi hapo ni Putin anataka kuonyesha propaganda za kushindana na USA kuhusu Africa
  8. M

    Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Nadhani hii ziara ilikuwa ndefu Sana nadhani wandaaji wamejifunza kitu Kwa binadamu yeyote kusafiri Kwa muda wote huo lazima mwili uchoke ongezea na hotuba za chuma kwenye maeneo aliyopita lazima angechoka tu, nadhani kilichotokea ni uchovu wa safari ndefu ya ziara
  9. M

    Kanda ya Ziwa kuongoza vs Kaskazini walipo wenye akili; Upendeleo?

    Aliwaogopa Kwa sababu Wana juhudi na mshikamano sio akili nyingi kuzidi wengine
  10. M

    Dkt. Anthony Diallo afunguka aliyoyafanya Nyerere dhidi ya mtu anayesema hakufanya kitu, hata 5% ya Nyerere yeye hajafanya

    Nisome unielewe sijasema aongezewe muda Ila nimesema je wengine wangepewa muda Sawa na Nyerere inawezekana wangefanya mengi
  11. M

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Kwenye uwanja wa ndege mwanza hapo fikiria tena
  12. M

    Kanda ya Ziwa kuongoza vs Kaskazini walipo wenye akili; Upendeleo?

    Kanda ya ziwa ina majiniasi kuliko sehemu yoyote labda nikipe takwimu kidogo Nyerere, kadinari WA kwanza Africa Rugambwa, Prof. Rweyemamu aliyefundisha mpaka havard na ndio mwalimu WA uchumi WA akina Lipumba, Kikwete, Ndulu. Kagera ndio inaongoza Kwa vichwa nchi hii nenda kule usikie idadi ya...
  13. M

    Dkt. Anthony Diallo afunguka aliyoyafanya Nyerere dhidi ya mtu anayesema hakufanya kitu, hata 5% ya Nyerere yeye hajafanya

    Mwalimu alifanya yote haya ndani ya miaka 24 sasa hivi Marais wanakaa miaka 10 Tu ni muda mdogo sana,mpeni JPM miaka 20 aendelee na Kasi hii hii uone kama hatayafanya, nadhani katika yote haya muhimu rais anapokuwa madarakani na akianza na mipango mizuri asije akaanza kupotea njia hapo ndio huwa...
Back
Top Bottom