Viongozi wenye dira ya maendeleo wapo Sochi kuchangamkia fursa wa kwetu yupo Chato

Kibosho1

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
2,491
3,998
Usishangae Rwanda kupiga hatua kimaendeleo kwa miaka mitano ijayo ukashangaa,japo kiongozi wake ni wa kidikteta lakini ana akili sana. Rwanda inastanili kumwacha madarakani mpaka atoke mwenyewe.

Al Sisi wa Misri yupo Sochi wa Ethiopia karibu Afrika yote ipo Sochi sisi tunakwama wapi? Tunapataje fursa za kibiashara na kiuchumi?

Kwanini kila kitu sisi ni wa mwisho na wanyuma?
 
Majaliwa PM sio kiongozi?
Mmeishiwa sera sasa huu ndio umebaki upumbavu wenu,halafu mbatarajia kuheshimika na wananchi?

Shame on all idiots like wewe mleta huu uzi jinga
 
Kakwambia nani Rwanda kuna maendeleo, alichoweza MTU mrefu ni kudhibiti habari mbaya zisitoke nje,ni tu zile zimfurahishazo ukiripoti kinyume utoiona kesho.Hakuna nchi iongozwayo kidikteta ikawa na maendeleo ya watu labda vitu kama Ethiopia, North Korea
 
Kajengewa gereji ya vw Basi sio kelele hizo
 
Hamchoki tu siasa nyepesi kama hizi?
Badilikeni ongeeni vitu vikubwa, Kikwete alisafiri sana na bado tulikwama kimaendeleo.
 
Usishangae Rwanda kupiga hatua kimaendeleo kwa miaka mitano ijayo ukashangaa,japo kiongozi wake ni wa kidikteta lakini ana akili sana. Rwanda inastanili kumwacha madarakani mpaka atoke mwenyewe.

Al Sisi wa Misri yupo Sochi wa Ethiopia karibu Afrika yote ipo Sochi sisi tunakwama wapi? Tunapataje fursa za kibiashara na kiuchumi?

Kwanini kila kitu sisi ni wa mwisho na wanyuma?
Jamani hakuna juma MPIMAJI si ndo kamwakilisha baba
 
Kwanini kila kitu sisi ni wa mwisho na wanyuma?
Hamna jema
Rais akipumzika mnazua kafa,akitoka mnataka wasaidizi waende
Yupo waziri mkuu anatosha,angeenda Rais mngesema kaenda kuungana na madikteta wenzake
Usilinganishe Rwanda na Tanzania,hivi unajua Rwanda hata mkoa wa morogoro ni mkubwa kuliko nchi yote ya Rwanda
 
Sawa lakini wana maendeleo kuliko mikoa mingapi ya Morogoro?
 
Hivi hata wewe ukipewa nchi ya watu milioni mbili,ukapata fursa ya kuiba tani 100 za dhahabu kwa jirani yako na madini mengine utashindwa kweli kuleta maendeleo?
Yaani wakazi wote wa Dar ndio wakazi wa nchi nzima ya Rwanda,
 
Usishangae Rwanda kupiga hatua kimaendeleo kwa miaka mitano ijayo ukashangaa,japo kiongozi wake ni wa kidikteta lakini ana akili sana. Rwanda inastanili kumwacha madarakani mpaka atoke mwenyewe.

Al Sisi wa Misri yupo Sochi wa Ethiopia karibu Afrika yote ipo Sochi sisi tunakwama wapi? Tunapataje fursa za kibiashara na kiuchumi?

Kwanini kila kitu sisi ni wa mwisho na wanyuma?
Asikudanganye mtu Russia hakuna kitu itafanya Kwa Africa, huu sio mkutano WA kwanza wa Russia na viongozi wa Africa zaidi hapo ni Putin anataka kuonyesha propaganda za kushindana na USA kuhusu Africa
 
Majaliwa PM sio kiongozi?
Mmeishiwa sera sasa huu ndio umebaki upumbavu wenu,halafu mbatarajia kuheshimika na wananchi?

Shame on all idiots like wewe mleta huu uzi jinga

Punguza ujinga na hakika utaokoa dhamira yako. Hapa kinachozungumziwa ni kiongozi wa nchi kupata firsthand information!! At the end of the day ni yeye atafanya maamuzi kuhusu mambo mengi. Kuna kitu kinaitwa “rapport”, wanaolalamika wanataka hili kujengwa. Sio tu “representation”.

Kwani hizo nchi zilizopeleka marais hazina PMs au VPs. Inakuwaje kila forum kubwa yenye kutoa fursa tunawakilishwa tu?? Inawajengea wengine dhana kuwa Rais wetu hana interest na mambo yanayotokea, na inaweza kuwa si sahihi kuwa hana interest.

Tunasema uchumi wa viwanda na wakati hatuoni mkuu wa nchi akienda kutetea hilo huko ili tupate FDIs? Au viwanda vitajengwa na watanzania tu??
 
Asikudanganye mtu Russia hakuna kitu itafanya Kwa Africa, huu sio mkutano WA kwanza wa Russia na viongozi wa Africa zaidi hapo ni Putin anataka kuonyesha propaganda za kushindana na USA kuhusu Africa
Hata Uchina ilionekana ivyo ivyo lakini angalia kwa sasa
 
Back
Top Bottom