Recent content by Mwanyonga

  1. Mwanyonga

    Upasuaji wa bawasiri

    Usisahau kutupatia mrejesho nasubiri kwa hamu ndugu
  2. Mwanyonga

    Upasuaji wa bawasiri

    Nasubiri kwa hamu hayo maelezo
  3. Mwanyonga

    TMA: Sekta zijipange kukabiliana na upungufu wa mvua

    Mi mikoa ipi hiyo,msaada tafadhali
  4. Mwanyonga

    Siasa na walimu wapya 2020, hajapewa hela ya kujikimu wala mshahara mwaka huu

    Uvumilivu unahitajika, ninaamini watalipwa tu cha msingi ni kumshukuru Mungu kwa kupata ajira.
  5. Mwanyonga

    GE2020 Hivi Tundu Lissu amepewa ulinzi na Serikali?

    Wanaweza kuwa ni walinzi toka serikalini sioni tatizo kwa hilo.
  6. Mwanyonga

    Wakenya waandamana na kupambana na polisi kupinga Lockdown

    Wawapatie chakula Kwanza ndo wapige rockdown
  7. Mwanyonga

    Msaada wa kitaalamu wa Kilimo cha Karoti

    Asante Sana kwa maelezo mazuri
  8. Mwanyonga

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Kwenye picha ya MTU ni 5 inakuwaje iwe ????naomba ufafanuzi hapo
  9. Mwanyonga

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Hapana sio sahihi kwasababu kuna alama ya kuzidisha na wewe umeweka jumlisha badala ya kuzidisha 5×2 wewe umejumlisha 5+2ambayo sahihi
  10. Mwanyonga

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Unachukua 10+5*2. =10+10 inamaana zidisha kwanza 5*2=10 then jumlisha
  11. Mwanyonga

    IQ test: Ukipata ujue una akili nyingi na uwezo wa kupambanua mambo kwa utulivu na usahihi

    Hapana kumbuka kutumia MAGAZIJUTU,inamaana kabla huja jumlisha zidisha kwanza
Back
Top Bottom