Recent content by Mwanyamaki's Son

  1. M

    Naombeni mnisaidie kwa hili.

    Habari wana Jf, Naombeni mawazo yenu. Mie ni kijana mwenye umir wa miaka 21, najiandaa kuingia kidato cha 6. Nina mpenzi wangu ambae tupo umris sawa na nimeshawahi kufanya nae sex. Ikifika mwezi wa tatu ndipo naenda shule na kujiunga shule ya bweni. Nimemuomba siku ya kuagana tufanye tena sex...
  2. M

    Jamani niende au nisiende? msaada....

    unaambiwa hiv siku zote mwanzo huwa ni mgumu ndugu yangu yawezekana huko mbeleni utakuja kuongezeka kulingana na ufanyaji wako wa kazi so, nenda tuu ukaanzie na huo kwan ajira siku hizi ni ngumu sana hata kama umesoma mpaka chuo kikuu.
  3. M

    Je ni kweli nilimtoa bikra?

    hebu jaribu kumuliza huyo mpenz wako kwamba hajawah kuwa na matatizo yoyote ya uzaz?
Back
Top Bottom