Ili ufahamu TU kuwa huna akili timamu, unambiwa mandamano ya 29 October 2026, wewe Kwa kutumia Makalio unafikiri ni October 29, 2025 , kiufupi mzee wako angetumia kondomu Dunia ingekuwa imepunguza mjinga mmoja ambaye ni wewe
Ipo hivi kama ni mtafutaji na mpamabanaji mtaani Kuna vitu hukusaidia kwenye mapambano navyo ni kama machines nk, na ili upige hatua kwenye maisha lazima ukubali kuendana na technologia hivyo kumiliki machines ni sehemu ya maisha.
Zipo machines ambazo ni ndoto Kwa wengine na wengine wanamiliki...
Je ni mtazamo TU au ni kweli wanawake wa kichaga Hasa wamachame wanaamini katika Mali, nimezaa na mwanamke wa kichaga mtoto Mmoja, naona yupo poa TU Hana noma zile au ni mtego kuwa niweke ndani aje anizingue
Inanipa ukakakasi Sana familia nyingi zenye mama wa kichaga , unashuhudia baba Hana...
Njombe ni athari za Mila za zamani za kurithiana, na being fair wanawake wa jombe mfano wakinga ni royal Sana ukioa mkinga una asilimia 50 ya kutoboa, ngono sio kipaumbele kwao kazi na biashara ni Kila kitu, warangi wanagawa mbususu kirahisi Sana yaani kanda ya kati, kusini mwa Tanzania na...
Kama ni mdau wa sekta ya usafiri Hasa wa mizigo ,Kuna jambo fanya kufuatilia katika ajali kumi oh gari ilifeli break nk utagundua gari za kichina ni ajali Saba out of 10. Je shida ni mazoea ya madereva au hizi gari za mchina Zina shida. Serikali wamefuatilia hili kujua Kwa nini gari za mchina...
Katika ujana wangu huu ulio mwishoni very soon naenda hit 40, kwenye kupita huku na kule na nikiwa na uhitaji mkubwa wa kupata mtoto wangu wa tatu nilijikuta nimezaa na single mother flani mwanamke wa maana sana na kanizalia mtoto wa kiume.
Basi nimekuwa namhudumia yeye na mtoto wangu,miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.