Recent content by mwantui

  1. mwantui

    JamiiForums Tanzania Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Nimeanza na SHJ na sasa SJ5 hayo matatizo unayozungumzia sijawahi kukutana nayo..natumia oil ya 5w-30 Atlantic
  2. mwantui

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimegundua mke wangu ananisaliti. Niko njia panda

    Una watoto umezaa nae tayari?
  3. mwantui

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Bima zinasaidia au magumashi? Umewahi kufidiwa pesa, kutengenezewa au kubadilishiwa gari baada ya ajali

    Binafsi bima ilinisaidia sana ingawa kuna makampuni mengine ya bima ni wasumbufu sana.
  4. mwantui

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

    Mkuu pole sana kwa changamoto za ndoa.
  5. mwantui

    JamiiForums Tanzania BMW wamekuja kivingine

    Nimecheka sana
  6. mwantui

    JamiiForums Tanzania SUV gani nzuri kwa Milioni 40?

    Mkuu uliagizaga gari gani nipate ka ushauri kidogo kutoka kwako.
  7. mwantui

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa yangu ina hali tete

    Wakwangu namzidi miaka nane na hakuna shida yeyote..huyo kuna shida sehemu mkuu fuatilia mienendo yake vizuri.
  8. mwantui

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mwanamke wa kisasa ana ndoto ya kupitia stage hii

    Number 11
  9. mwantui

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Engine oil

    Ni oil gani nzuri kwa subaru forester ya mwaka 2012
  10. mwantui

    JamiiForums Tanzania Marufuku: Tabia zifuatazo kwa mwaka 2024

    Number sita nimeipenda
  11. mwantui

    JamiiForums Tanzania 4 Fortuner VS Discovery 4 tuagize kutoka Africa ya Kusini au Singapore?

    Fortuner 2016 my next car.
  12. mwantui

    JamiiForums Tanzania Ipi ni bora kati ya Subaru forester (Isiyo na turbo) na Volkswagen Tiguan, zote za 2010?

    Chukua unayoipenda wewe…nimetumia matoleo matatu ya forester sijawahi kujutia.
  13. mwantui

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA mkoa wa Iringa ni kero kwa wafanyabiashara

    Tax~ (a compulsory contribution to state revenue.) kaombe upewe utaratibu mzuri wa kulipa madeni yako mkuu.
  14. mwantui

    JamiiForums Tanzania Zipi tamu na chungu za mimi kumiliki BMW X3

    Mkuu go for Subaru forester ya kuanzia mwaka 2012
  15. mwantui

    JamiiForums Tanzania Kati ya Belta, Premio, Allex na Raum, zote 1.5l, nichukue ipi?

    Chukua Premio hutojutia ,nimeitumia hii gari ipo vizuri sana
Back
Top Bottom