Recent content by Mwanongwa

  1. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Kasumba ya kukatisha ruti za daladala yageuka kero kubwa jijini Mbeya

    Kwa msafiri anayepanda daladala kutoka Uyole, Nanenane na maeneo mengine ya ukanda huo kuelekea Stendi Kuu ya Mabasi katika eneo la Uhindini, safari ambayo ilipaswa kuwa ya moja kwa moja imegeuka kuwa kero ya kila siku. Kwa muda sasa, baadhi ya abiria wamekuwa wakilalamikia tabia ya baadhi ya...
  2. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Idara ya maji Mbeya acheni dharau kwa wateja

    Hivi ninyi Idara ya maji mkoa wa Mbeya mnashida gani? Haiwezekani tumelipia maji toka Jumatatu mpaka leo hii hamtaki kurejesha maji . Mnapigiwa simu mnaahidi kutuma mafundi lakini mafundi wenu hawaji, mnategemea watu wanaishi je.kama kuna shida nyingine tujuzeni sababu malipo yote tayari tumefanya.
  3. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Mke amfungia Mume ndani amnyima Matibabu

    Hatari sana
  4. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Mke amfungia Mume ndani amnyima Matibabu

    Itakuwa wanataka afe
  5. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Mkuu wa shule ya Sekondari Ikulu jijini Mbeya amekuwa kero kwa wazazi

    Habari za muda huu ndugu wapenzi wa jukwaa hili la JamiiForums. Kuna Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Ikulu iliyopo jijini Mbeya, anaye julikana kwa jina la Godfrey Sitayila amekuwa kero kubwa sana kwa wazazi wa wanafunzi wanaosoma shuleni hapo. Amekuwa akitoa kauli ambazo siyo nzuri kwa...
  6. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe hii Shule ya Msingi KIBISI mmeamua kuipotezea?

    Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu. Pia soma: ~ Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tupieni jicho Shule ya Msingi Kibisi, hii miundombinu sio rafiki ~ Halmashauri...
  7. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Mke amfungia Mume ndani amnyima Matibabu

    Hatari
  8. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe litazameni Soko la Ndizi Kiwira, mazingira siyo rafiki

    Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko limejaa matope balaa hali inayohatarisha afya za wateja. Viongozi liangalieni hili maana ni aibu kubwa.
  9. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Jiji la Mbeya rekebisheni mitaro ya maji maeneo ya Kabwe

    Habari ndugu zangu, ndugu yenu Mwanongwa katika pitapita zangu leo nimeibukia maeneo ya Kabwe Jijini Mbeya. Kuna mitaro maeneo ya Kabwe njia ya kwenda Block T ni janga kubwa sababu maji na inaleta kero kubwa kwa vyombo vya usafiri hii ni kutokana na maji hayo kuharibu barabara. Mitaro hiyo...
Back
Top Bottom