Recent content by MWANKEMWA

  1. MWANKEMWA

    Maomba ya Bodi ya Mikopo - Elimu ya juu

    Nashukuru kwa ushauri wako kiongozi.Huwa nakwama kuendelea na hatua ya 7 kila ninapofika hatua ya 6 kwa kutumia M-Pesa.
  2. MWANKEMWA

    Maomba ya Bodi ya Mikopo - Elimu ya juu

    tatizo namna yakuaplay loan
  3. MWANKEMWA

    Maomba ya Bodi ya Mikopo - Elimu ya juu

    Za siku nyingi wana JF.Naomba msaada wa kujuzwa tatizo linalonikabili la kukwama katika baadhi ya hatua za kufuata wakati ninapolipia maombi ya Mkopo kwa njia ya M-Pesa. Natanguliza shukrani zangu.
  4. MWANKEMWA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mawazo ya Nyerere ni ya kuheshimika
  5. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Finace2014 nashukuru mkuu,nimewapata baada ya kugoogle.Wanaitwa Pilli Misanah Foundation 'Back to life Sober house' wapo Kigamboni Dar es salaam.Wanaprograms mbalimbali na wanaishi hapo. Asante sana mkuu kwa msaada wako.
  6. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Kweli Mrangi,walio wengi wako very complicated kwenye kufanya maamuzi ila ntajitahidi kama ulivyo shauri mkuu.Kwa sasa anavuta hajafikia kujichoma ndo maana nataka nimuwahi kabla hajaanza kujichoma.
  7. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Ni kweli Guasa,vijana wengi hatuelewi maelekezo ya wazazi,jamii hata dini zetu matokeo yake ni shida tu.
  8. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Asante sana Finance2014,kiko maeneo gani hapo Dar hiki kituo ili niwaone mkuu.Nashukuru kwa kunipa njia.
  9. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Nashukuru Gwangambo na nimesha kuPM mkuu.
  10. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Nashukuru Chosen Generation kwa maelekezo mazuri.
  11. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Nashukuru Ganga Roller kwa ushauri wako,ntaufanyia kazi na ntahitaji ushauri wako zaidi endapo nitakumbana na changamoto.
  12. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Nashukuru sana Mrangi,ntajitahidi kumpa darasa nione mapokeo yake.Ulichosema ni kweli kwamba inahitaji utayari wake. Asante.
  13. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Ty_Vigilante,ushauri wako nimeupokea kwa mikono miwili na naahidi kutoa mrejesho hapa juu ya maendeleo ya hii vita ili nindelee kupata mawazo yako mukuu.
  14. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Nashukuru sana Dalalitz,ntajitahidi niwaone Mwananyamala hospitali kama ulivyoshauli.Nilielezwa pia Ray C anashughurika na hili tatizo ila sijapata mawasiliano ya Foundation yake. Tafadhari,ukijua zaidi ya huko Kigamboni ntashukuru mkuu ili nijue gharama na namna ya kupata hiyo uduma.
  15. MWANKEMWA

    Kuachana na utumiaji wa Madawa ya Kulevya

    Nashukuru mkuu kwa ushauli wako mzuri.Naambiwa kua asipopata madawa hayo kwa siku kadhaa bila huduma nyingine mfano matibabu (ambayo siyajui ni ya aina gani) anaweza kupoteza maisha kwaajili ya 'Alosto'.
Back
Top Bottom