MWANKEMWA
Member
- Apr 12, 2013
- 63
- 7
Ndugu wana JF wenzangu, natumaini mu wazima nyote.
Ndugu zangu kama muelewavyo juu ya janga la utumiaji wa madawa ya kulevya na ugumu uliopo katika jitiada za kuachana na matumizi hayo,hivyo basi naomba ushauri wenu katika yafuatayo;
1.Nianzie wapi ili nimsaidie mdogo wangu aliyeathirika kwa utumiaji wa haya madawa anaishi Mbagala?
2.Hua inaghalimu kiasi gani cha fedha katika zoezi zima la kumuachisha mtu wa aina hiyo?
3.Taasisi ipi nzuri ilioko Dar itakayoweza kunisaidia kumuachisha mdogo wangu na matumizi ya madawa hayo?
4.Nitashukuru nikipata ufafanuzi au maoni yoyote ili niweze kuokoa maisha ya mdogo wangu aliye katika hali mbaya sana.
Nashukuru ndugu zangu wa JF