Pole sana nini shida tueleze ili utue huo mzigo ulionao, naamini utakaa sawa kuleta tu hapa huu uzi ni njia moja wapo ya uponyaji wako na ungekuwa na nia kweli ya kujiua hata usingefika hapa ungefanya vitendo tu
Hapa umekuja kwaajili ya kupata faraja - tukusaidie namna ya kutatua hilo tatizo au...
Nilimshuhudia mume wangu akiumwa saratani ya ini maumivu aliyokuwa akiyapitia hayaelezeki ilifikia hatua hata dawa za maumivu hazifanyi kazi ni analia muda wote huu ugonjwa usikie tu usibishe hodi kwenye familia yako
Daaaah pumzika kwa Amani jirani yangu Alfred John, aisee alikuwa ni kijana mpole mno japo nilimuona kwa mwezi mmoja pale mpwapwa nimeumia sana [emoji24]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.