Wakuu naomba kueleweshwa kwa wenye uelewa juu ya hili, nimekuta namba yangu ya simu imewekwa kwenye call forwarding to +255128 & +255121 ilihali sijawahi kumpa mtu simu yangu aishike, mwenye kuzifahahamu hizo namba mbili naomba anisaidie kujua ni za kampuni gani na je inawezekanaje mtu akuwekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.