Nakubaliana na wewe Mkuu! Hizo GPA zina maana huko huko vyuoni, ww komaa jibu vizuri maswali yao utapata kazi uliyoiomba!Huko hawaangalii GPA ni uwezo wako wa kujibu maswali tu
TARI nao ni macomplicators tu.. hv hawajui kupata GPA ya 3.0 pale SUA Kilimo si kazi ndogo..Tangazo la kazi uwa lina toa sifa zote za mtu wanayemuhiyaji, lakini pia kuna baadh ya taasisi kama vyuo vikuu huwezi kuwa lecturer kwa GPA chini ya 3.8 level ya bachelor degree hata kama una PhD. Na baadhi ya taasisi pia uhitaji GPA kuanzia 3.5 kama TARI Kuanzia level ya degree. Kwahiyo kuwa mtumishi unaweza tu
Weka cheti chako hapaSua mbona chuo cha kawaida mzee,mimi nina Msc ya pale na nina GPA ya 4+
Hata mimi ningekuwa huyo jamaa nisingeweka cheti.Weka cheti chako hapa
Cha Undergraduate tuone..
GPA ni digits zilizo kwenye paper tu, kama simu tunavyosema specs on paperHabari
Naomba kuuliza kuhusu GPA kuwa Ina effect yoyote kwenye kupata kazi za utumishi wa Umma.
Mfano Nina GPA ya 2.5 nimeapply Tax management officer II. ikatokea nimefaulu mitihani yao kwa GPA hiyo napata kazi?
Msaada plz
Asante SanaTangazo la kazi uwa lina toa sifa zote za mtu wanayemuhiyaji, lakini pia kuna baadh ya taasisi kama vyuo vikuu huwezi kuwa lecturer kwa GPA chini ya 3.8 level ya bachelor degree hata kama una PhD. Na baadhi ya taasisi pia uhitaji GPA kuanzia 3.5 kama TARI Kuanzia level ya degree. Kwahiyo kuwa mtumishi unaweza tu
Sua si ndio chuo wanatoa GPA kubwaTARI nao ni macomplicators tu.. hv hawajui kupata GPA ya 3.0 pale SUA Kilimo si kazi ndogo..
ukiwa na maana kupata GPA kubwa SUA ni rahisi? Au sijakuelewa vizuri?Sua si ndio chuo wanatoa GPA kubwa
Sawa.. hebu nikuache niendelee na Mishe za kusaka hela memeSua si ndio chuo wanatoa GPA kubwa
Ndio stori mnazodanganyana huko vijiweni mjomba mama ?Sua si ndio chuo wanatoa GPA kubwa