Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo.
Na kila Serikali inapochukua...
Tabia inayofanywa na wavuta Sigara.
Kutendo Baadhi ya wavutaji wa Sigara ni kwenda Dukani kununua Sigara na kuiwasha papo hapo na kuanza kuvuta bila kujali Afya ya Watejá wanaohudumiwa hapo.
Inabidi ziwekwe sheria ndogo ndogo za kulinda Afya za wengine ambao sio watumiaji. Hivi mvutaji Wa...
Kwanzá Submeter Umeme huwa unaanza Kuingizwa kwenye Mita kuu ya Tanesco(Tanzania) Na Zeco (Zanzibar) ndio unaingiza kwenye Submeter yako.
Pili Kwa mwenye kutaka kufunga kwenye chumba kimoja tu anatakiwa kufunga Submeter Mbili. Kwanini Mbili? Mbili kwa sababu ukifunga moja tu...
Unaanza kuweka umeme kwenye Mita kuu kwanza halafu ndio unaamishia kwenye Submeter. Kama umeweka umeme Wa 10000 ambao ni sawa na Unit 28kwh unauamisha hivyo kwenye Submeter yako. Na Submeter yako Itakuonyesha Unit 28kwh unapoanza kutumia utaanza kushuka mpaka kuwa Unit 00kwh hapo umeme...
Kila mtu atakula jsho lake. Ukifunga mbili mmoja asiponunua Atalala Giza wengine Mtaendelea kuinjoy Hii inakufanya Utumie kifaa chochote kwa maana ákimaliza umeme wako utabaki Giza. Submeter hizi pia zinauwezo Wa ku temper endapo kifaa chako kimepiga short Submeter itajizima na utapiga Simu...
Kila mtu atakula jsho lake. Ukifunga mbili mmoja asiponunua Atalala Giza wengine Mtaendelea kuinjoy Hii inakufanya Utumie kifaa chochote kwa maana ákimaliza umeme wako utabaki Giza. Submeter hizi pia zinauwezo Wa ku temper endapo kifaa chako kimepiga short Submeter itajizima na utapiga Simu...
Asante kumbuka sub inategemea sorce ya Umeme kutoka Main Meter mwenye kunielewa atanielewa. Ndio maana tunashauri ufunge sub mbili moja kwa Ajili yako na kwa Ajili ya wengine hapo háta wao wakitumia wakwao ukiisha watabaki na Giza ila wewe utaendelea kuwa na umeme. Kwa Sababu umewa manage.
Asante Ili kwako usikatike itakubidi ununue mbili ni sawa na 260,000. Sababu ya kufungiwa mbili moja ni kudhitibiti mtu asitumie kwenye Mita ya Tanesco.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.