Sasa hapa itakuwaje, je mwanaume akiomba namba mnamanisha asipewe? Je akiomba afu tatu ya dharura napo nisimpe? Maana mkwamo upo kwa wote mlijue hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaen mkijua kuna mapepo yenye kibur bila kulikoromea kwa sauti yenye utisho haliwez kumtoka mtu achen kulinganisha mambo!! Ndio maana sio lahis padre kumtoa mtu pepo maana litamwangalia tu bila kujishtua lilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa dizain hyo wapo lukuki, akishajua una uhitaji wa kazi aloooh!! Atakwambia usjali kazi umepata nipe mda ondoa shaka[emoji1][emoji1][emoji1] daah hyo moment naikumbuka but kuna wengine wanatekeleza ila wengine mamlaka ya kukuwezesha kupata kazi hana
Amina,, naomba kusaidiw jmn mwajiri anataka sifa ya astashahada wakat mm nina shahada,, nmetaka kusubmit tu mfumo ukakataa, nisaidien nifanyeje maana napitwa na nafasi nyingi jaman,, nataka niondoe hicho chet kinacholeta shida kwenye mfumo wa ajira portal naomba msaada pliziiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.