Kama sio mwanasiasa umeletaje Taarifa za kisiasa?wewe umesema umefanya mahojiano na mke wa marehemu Mawazo si ndivyo? Na kwa maana hiyo wewe ni mwandishi wa habari.Lengo la mahojiano hayo ilikuwa nini? Kama ilikuwa kujua kama ahadi ulizo zitaja zimetekelezwa ama la ,umeshindwaje kufanya...
Na ndiyo msingi wa hoja,nami natamani ashitakiwe ili tujue Ufisadi Wake.Na nikushauri pia kuwa uje uwe mwaminifu kupitia hapa kumuomba radhi mh: Lowasa itakapothibitishwa kuwa yeye si Fisadi.Na mimi ni miongoni mwa waliokalilishwa kuwa Lowasa ni Fisadi,huku nikiwa Sina ushahidi maana hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.