Recent content by mwanazuoni mgeni

  1. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi nina bahati mbaya, au siyo fungu langu?

    Inahitajika Akili ya ziada ...hawa viumbe sio wa kuwapa u serious Sana ...labda akishakuzalia ..
  2. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania Uhuni wa Dstv

    Hawa jamaa wameshakua wahuni siku hz ...mwenye maujanja ya FTA atoe Elimu hapa ..me Tv yangu Ina internal antena
  3. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kuondoka nyumbani

    Mkuu ukiwa unajitambua sio mbaya sana ..Ila sisi wa Africa tunajuana tulivyo ...ndo maana nkasema kwa Africa Bora kuondoka nyumbani
  4. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kuondoka nyumbani

    Ukiwa na maarifa hayo mengine uliyoyataja utajua pakuyapata
  5. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kuondoka nyumbani

    Nimefarijika sana kuona Mada nlioianzisha ...2016 ..Leo ikipewa platform katika page kubwa ya jamii forum ..huko mjini fb wataijadili Real recognize real [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
  6. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza iphone 6 plain (16gb) 170k

    Wame assemble wapi ?
  7. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Lenovo Thinkpad

    Lenovo Thinkpad Specs Processor Core i5 Ram 4gb Storage 320gb Finger print sensor. Battery good condition 3hr 650000 fixed price 0739073206
  8. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Jiko na Water dispenser

    Hahahahaha mkuu Kauli ya JPM ina utata ile
  9. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Jiko na Water dispenser

    Karibu boss
  10. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Jiko na Water dispenser

    Nko dsm kinondoni
  11. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Jiko na Water dispenser

    Wakuu [emoji3577] Ni matumaini yangu wote ni wazima kabisa. Nauza Jiko la njia nne ambazo tatu ni za gas moja ndo umeme kwa 280000 tuu fixed price. Pia nauza Water dispenser aina ya Bruhm kwa 160000 tuu fixed price. Vyote viko katika condition nzuri kabisa Karibuni 0739073206
  12. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ilikua 2017 Kipindi Hiko nasoma Chuo kimoja Kiko karibu Sana na Bar iliompa Piere konk fire umaarufu, Siku hiyo natokea ghero....Mitaa ya mtoni kwa Aziz ally naelekea chuo kupiga discussion coz UE ilikua imekaribia ,nkiwa njiani karibia na sabasaba maonyesho nkakutana na Mtoto mmoja mdogo mdogo...
  13. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

    Yeah ni mchaga thou amekaa kenya Sana ndo maana ana ka lafudhi ka kenya kwa mbali
  14. mwanazuoni mgeni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Hv mona bado hajahama pale mpaka leo
Back
Top Bottom