Recent content by Mwanawapahaya

  1. M

    JamiiForums Tanzania David Silinde apata ajali wakati akitoka kurudisha fomu ya Ubunge

    Pole sana kamanda
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini jina la Apson Mwangonda?

    Mbona hatwambii wanajeshi wastafu kuwa wakuu wa mikoa na wilaya??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowasa Ajimaliza, uchu wa madaraka wampeleka CHADEMA,uamuzi wake wapondwa kila kona

    Ndo ubovu wa magezeti ya vyama hivi kwa akili ya kawaida unafikili linge andika tifauti na matakwa ya chama??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    Karibuni sana ili tupate Mabadiliko ya Kweli na Uhuru wa Kweli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    Karibuni sana ili tupate Mabadiliko ya Kweli na Uhuru wa Kweli
  6. M

    JamiiForums Tanzania Habari & Picha; Sugu na Elimu Mbeya Mjini - Part 1 & 2

    Hongera sana kamanda kwa kuonesha uzalendo wa hali ya juu unafaa kuigwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge kutengua adhabu ili wabunge wahudhurie Hotuba ya Rais

    Hawatarudi mana walichokua wanakipigania hakipo tena.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika unaleta vurugu Bungeni wakati Ubungo Makoka barabara imechakachuliwa

    Uzalendo ndo unao mtesa sana John Mnyika kwa wazalendo wote na wenye uchungu na rasilimali za taifa letu watakubaliana na anachokifanya Mnyika
  9. M

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo Mbozi mwendo wao ni zaidi ya MCHAKAMCHAKA

    Ni kukuwa kwa demokrasia ila wajipange sana na sisi makamnda tupo njiani tunakuja kutoka masomoni pia nawapongeza sana watu wa Mbozi kwa kukubali mabadiliko na kuwa na imani kubwa na CHADEMA
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa UKAWA wagomea Miswada ya Petroli na Gesi, Bunge laahirishwa ghafla

    Miswada hii ina masirahi makubwa sana kwa taifa letu kwa kizazi hiki na kizazi kijacho iweje ipelekwe bungeni kwa dharula au ina masirahi kwa wachache, pia watanzania ufike muda tuwe na uwezo wa kupaza sauti zetu ktk kutetea rasilimali zetu, nawapongeza sana wabunge wa UKAWA kwa kupinga hii...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa kuanzia Jumatatu na kuhitimisha ofisini kwa mkuu wa Wilaya ya Rombo!

    Nawapongeza sana wanarombo kwa kupinga hilo kwa 100%
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya Uswisi: Zitto kuwataja wahusika kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo Mwembeyanga

    Ni vizuri awataje ili watanzania tujue ukweli
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wavunjavunja ngome ya CCM Namtumbo, Ruvuma

    Hongereni sana makamanda mpaka kieleweke october
Back
Top Bottom