Recent content by mwanawao

  1. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

    Mkuu hicho chuo chenyewe mbona ni chanzo cha mapato kinatosha kabisa kulipa wafanyakazi na kujiendesha chenyewe?
  2. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Gen Z wa Kenya waliyeyushwa kama Mvuke pamoja na kuwa na KATIBA MPYA!

    Ni sawa ila wananchi tunaitaka hiyo katiba mpya hivyo hivyo. Mnaogopa nn kuitoa? Na mnajua hata ikiwepo siyo kitu, itoeni hivyo hivyo,
  3. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

    Acha kutetea upumbavu, jibu hoja za mtoa mada, KWA NN HAMLIPI WAFANYAKAZI WENU? Hii ndo mtoa mada kalalamikia,
  4. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Urahisi katika kuitawala na kuiongoza Tanzania unatokana na migawanyiko, chuki na uhasama miongoni mwa viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini

    Title ya thread yako inasema ukweli. Ila content ndani ya thread ni uongo mtupu. Hapo waswahili wanasema "umeng'ata na kupuliza" Vyma vya upindani wangeweka pembeni chuki, uhasama, wivu, ubinafsi na wakawa kitu kimoja hamna namna CCM ingetoboa uchaguzi hata mmoja au madai yoyote ya wananchi...
  5. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuosha magari ya watu hadi kumiliki car wash yake mwenyewe

    Kilimo cha matikiti maji kinalipa sana. Heka moja inaweza kutoa jumla ya matiki 50,000,. Kwa wastani tikiti linauzwa tsh 2000 bei ya chini kabisa, 50000 x2000 = 100,000,000 Imagine unalima heka 10 tu, unakuwa na mgodi wa dhahabu, hata katoro hawaoni ndani. Ni watu tu wavivu. Migodi ipo...
  6. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Samia kaanza kuongea na Wanahabari wakati hajamaliza Eda! 🤔

    Mkuu hata kapicha basi🤣🤣🤣
  7. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Tanzania 2050: Ajenda ya kulikomboa taifa kupitia katiba, demokrasia na utawala bora

    Ingawa ni AI generated, ila kuna jambo zuri sana ndani yake,
  8. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya Uislamu kuzidi kuwa na ushwawishi na kushamiri Tanganyika?

    Waseme pia na wavaa vipedo na wavaa ushungi wanaogeuka na kuwa Wagalatia ni wangapi? Ni wengi kama mchanga wa bahari..
  9. mwanawao

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanapigania katiba mpya kwa lengo moja tu. Wanadhani katiba mpya ndiyo itawapa nafasi ya kushika Dola

    SIyo CHADEMA Watanzania wanataka KATIBA MPYA. Watanzania wanataka katiba itakatakayo watetea wananchi. KATIBA YETU ni ile ya Ukoloni, tulishapsta uhuru tunahitaji katiba itakayoendana na wakati tuliopo. Kwani CCM si ni chama kubwa na kina wafuasi wengi na kinapendwa sana. Sielewi kwanini...
  10. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto kukwepa kuhutubia kwa Kiswahili bunge la Tanzania, inatukumbusha kama nchi kuacha kukumbatia KISWAHILI

    Hawa hawawezi kujua kabisa! Kusikia kwa chura hadi damu zimtoke masikioni,
  11. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto kukwepa kuhutubia kwa Kiswahili bunge la Tanzania, inatukumbusha kama nchi kuacha kukumbatia KISWAHILI

    Kawaulize kwanini hawa wanaotengeneza policy za kutumia Kiswahili kwenye Elimu ya watoto wetu, WATOTO WAO WANASOMA PUBLIC SCHOOLS, NA KWANINI HAWASOMI PUBLIC SCHOOLS wanasoma International Schools na shule zinazofundisha masomo kwa lugha ya Wakoloni? Ukishafanya uchunguzi wako binafsi ndo utajua...
  12. mwanawao

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya Kilimanjaro hayana ladha tuliyoizoea, wajitafakari

    Ni kweli maji hayana ladha kabisa ya zamani, yamechakachukiwa. Walaji wanapotoa maoni yao ni kuwapa alert mapungufu yao. Kama ni wafanyabiashara kweli watachulia hii feedback positive na kubadilika badala ya kuwaza kwamba brand inaharibiwa. Mwisho wa siku unakuta soko lako limeporomoka na...
  13. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Serikali yafafanua kauli ya Rais Samia kuhusu Bei za Mafuta

    Ulikuwepo, kwani ulikuwepo, ubishi tu hahaaa🤣🤣🤣
  14. mwanawao

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM Haibebwi, inafanikiwa kwa ukubwa wake na Imani ya Wananchi

    Sasa wanaogopa nini kuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI? Wanaogopa nn kuleta katiba mpya?
Back
Top Bottom