Recent content by Mwanawangurumo

  1. M

    Moses Machali: Ni fikra chakavu za upinzani kulaani kikao cha CCM kufanyika Ikulu

    HIVI WAPINZANI WALIKUTANA NA RAIS KWA KIKAO CHA CHAMA AU KWA MASWALA YA KITAIFA HUYU JAMAA KAVURUGWA EEH!!
  2. M

    Uchaguzi wa Mwenyekiti Halmashauri ya Kilombero: Wabunge Lijuakali, Devotha Minja wakamatwa

    NCHI HII INAHITAJI MAOMBI YA NGUVU BILA HIVYO NI HATARI KUBWA MBELENI
  3. M

    Mbunge na Madiwani wa CHADEMA wamtoa baruti Mkuu wa Wilaya

    Ndugu yangu hii ndio shida ya wakuu wa wilaya kuwa makada wa chama
  4. M

    Fedha za Stanbic ziligharimia kampeni UKAWA?

    Tuwekee ushahidi wa wazi kama ule wa Escrow, wa walio chota hela kwenye Sandarusi sio hiyo figisu yako wala haieleweki
  5. M

    Mwanasheria Mkuu abomoa hoja za UKAWA, Asema hazina mantiki kikatiba!

    Hakuna wakumkalisha mtu hapo leo tu hiyo chakula ya wakubwa amepigwa maswli kashindwa kujibu kabaki anajikanyaga tu
  6. M

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Wewe hueleweki, kwani wamekwambia wanalinda wakala kukubaliana na matokeo au wale wanao iba kura na kukimbia nazo au kuleta kura batili vituoni
  7. M

    Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    tunashukuru amepona na mihela aliyokuwa nayo ya kwenda kuvuruga amani wananchi wamezifaidi
  8. M

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Msipotezee habari hapa ni Je ameshatua au bado
  9. M

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Ndege imeishiwa kidebe dubai, wakaongeaz kikaisha tena wametua Nairobi kuongeza kidebe tuwe na subira atafika tu!
  10. M

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Wewe si mwana ukwawa, maana ungekuwani mwana ukawa ungejua ratiba zao, za kampeni, unauliza wako wapi? wapo majimboni mwao kama unataka kuwaona nenda majimboni kwao
  11. M

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Ni akina nani? Alfajiri ya Leo kupitia vyombo vya habari Nimemuona aliyejitambulisha kama kaka wa Mkuu wa Majeshi Davis Mwamunyange akitoa taarifa kuwa Mkuu wa Majeshi yupo nje ya nchi kwa majukumu ya kitaifa.Ni siku mbili zilizopita niliandika kuitaka serikali itoke hadharani na kutoa...
  12. M

    Mbowe rudisha hela zetu

    Sema unataka pesa zako, mnataka pesa zenu na nani?
Back
Top Bottom