Miezi kadhaa iliyo pita, kulikuwepo minong'ono na mijadala mingi mitaani na mitandaoni ilio kua ikikosoa/ ikishauri na kushinikiza nembo ya mwenge iliowekwa daraja la Tanzanite iondolewe na kuwekwe alama ya Dini la Tanzanite!.
Mheshimiwa Rais wetu, Mama Samia Suluhu Hassan alipozindua daraja...
Mwenyekiti wa Balaza la Vijana la CHADEMA Taifa, Mhe: Paschal Patrobas ambaye pia ni mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Jimbo la Shinyanga, jana majira ya saa 2:45 asubuhi maeneo ya Ibinzamata, akielekea stendi, amevamiwa na watu wasiojulikana na...
IVI MNAONIOMBA CV ya Mheshimiwa Mwenyekiti, ! MNATAKA MUMPE KAZI?
Sawa maafisa rasilimali watu ACT na CCM! nimewaelewa... Nawasamehe bure maana mmevurugwa tu na mfumo wa Elimu ya Kikoloni! CV ya mwanasiasa INAJENGWA NA HISTORIA YAKE, Juhudi na harakati ndani na nje ya Chama, katu haziandikwi...
CV YA MHESHIMIWA MWENYEKITI BAVICHA TAIFA 2014 NI HII
Makamanda habari za wakati huu..
Nimesikitishwa sana na baadhi ya watu ambao wamekua wakielezea ndivyo sivyo CV ya Mheshimiwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA )
Kulopoka ni uvivu wa...
Makamanda habari za wakati huu..
Nimesikitishwa sana na baadhi ya watu ambao wamekua wakielezea ndivyo sivyo CV ya Mheshimiwa Mwenyekiti mpya wa Baraza la Vijana la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA )
Kulopoka ni uvivu wa kufikiri, tuache kuelezea mambo bila kuwa na ufahamu ama...
Wana jamvi, habari za wakati huu..
Wakati joto la uchaguzi mdogo likizidi kupanda miongoni mwa wagombea nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa Baraza la Vijana la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Mijadala ya watu mbalimbali ndani na nje ya chama na maoni ya walio wengi wanaamini Paschal...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.