I have no problem with reporting but if you have decided to report something which is right and make sense. Niliposoma hivyo nikagundua kuwa most of us will die poor and fool. In AI (Artificial Intelligence) and Philosophy, there is this concept "IF YOU CAN NOT PROVE SOMETHING, IT DOES NOT MEAN THAT IT IS FALSE", it is just you did not be able to prove it. It can be true or false. Thanks for the government that keeps his people fool, stupid and broke.
Sometimes I just keep myself out of forum just because I don't like soft politics. I just have to say this f them. Now tell me who is going to stand up and talk about IPTL! Hakuna mtu mmoja ambaye anaweza akasimamisha "balz" na ku-prove kwamba shutuma zinazotolewa ni za kweli. f them. You guys mmeandika sana shutuma zidi ya BWM lakini hakuna mtu hata mmoja anayeweza kusimamisha kende zake bungeni na kuongelea hili jambo tena. Hakuna mtu mwenye ushahidi au ambaye anaweza ku-prove kuwa hizo habari/shutuma ni za kweli. BWM ameondoka amewaachia kila kitu mikononi mwenu kama hamuwataki watu wa madini si mnaweza kuwafukuza kwa siku moja? Hao IPTL mnawalipa kwa nini? Kwani tusipowalia itakuwaje? We are not getting service anyway! Tatizo tunaijenga nchi kuwa malaya wa kuomba omba mkifanya hivyo mtakosa hizo hela.