Mmoja aliyemtembelea Father Dr.Charles Kitima anashuhudia kuwa "Hakika lilikuwa shambulio baya lenye lengo la kudhulumu maisha yake"
Mungu ni mwema sana anaendelea vizuri.
Huu ni Ujumbe wake kwetu
"....Lazima Tuwe Imara kusimamia masuala ya Msingi katika Taifa.
"Hatutakiwi kuogopa kulipa...
Kwa hiyo unamaanisha ameshambuliwa na wanasiasa wasiompenda?
Hivi kushambulia mtu ndio jibu la hoja ambazo mwanasiasa hakubaliani nazo?
Tofauti kati ya siasa za hivyo na uhalifu zi wapi?
Huo ni uhalifu, sio siasa. Mnatuharibia nchi!
Kwa ushahidi wa Urio?
Kwa ushahidi wa Kingai?
Kwa ushahidi wa Jumanne?
Kwa ushahidi wa Tumaini Swila?
Kwa ushahidi wa mchongo?
Kwa ushahidi upi tuliosikia Mpaka Jamhuri ikatangaza kukamilisha ushahidi?
Acheni siasa kwenye sheria, hakukuwa na Kesi, na wabambikiaji hawakuwa makini kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.