Hivi huyo jamaa si ni proo?
sasa mbona Simba inao maproo nane kama bado yupo msimbazi?
kumbuka maproo simba ni wafuatao:
Angban, Juuko, Mwanjali, Bokungu, Ndusha, Mavugo, Blagnon
Sasa akiongezeka na HIJJA UGANDO (sio Hajji) si watazidi idadi ya maproo saba?
au mm ndo sielewi uraia wake...