Recent content by mwanasayi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

    kama walikataa kuwa watz hatuli mapanki na minofu kwenda ulaya,la umeme watakubali ? sikio la kufa halisikii dawa siku zao zinahesabika kamanda. leo tunaandamana KISHAPU wakiyazuia tunaandamana KIROHO si hayana kikomo.
  2. M

  3. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

    kama ulikuwepo ndo zao. uchaguzi ukikalibia wanatengeneza urafiki kwa ahadi za kuwapa gepu wawekezaji . kafuata dili au!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

    tehe tehe
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kinachoifanya CHADEMA ipoteze mvuto na ushawishi kwa wananchi hiki hapa

    kama hawataki ushahidi huu basi wakafie mbali.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watz milioni 44.9 hatuko tayari kulinda maslahi ya Wabaka nchi 30.

    Ndg yangu Maboso ni vyema ukaelewa vizuri anachomaanisha Nyerere tatizo lako hujalejea historia ya muungano kama wazenji hawataki hata hiyo serikari mbili, unafikiri wewe hiyo mmoja inawezekanaje ? tatizo kila kitu mnataka kushabikia nenda Chalinze kama unataka ushabiki hili nijukwaa toa hoja...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Raha ya kuwa mwanasiasa wa Chama Tawala

    kaabisa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza kwa hiki ni vema Ukajitafakari!!

    ndo maana div 5
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Asisubiri Kuvuliwa Uanachama; Ajiondoe Mwenyewe: Mahakama Isiingilie kazi za Chama!

    unamdaganya huyu ndg yako kaanzisheni chama chenu na zitto
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, tatizo mashabiki wako wengi tunakuwa maofisini tofauti na wa Lema na Mbowe

    kazi bongo bana!!!!!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, tatizo mashabiki wako wengi tunakuwa maofisini tofauti na wa Lema na Mbowe

    Unamdaganya ZITTO, KADI YAKO YA CCM umeirudisha lini??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, tatizo mashabiki wako wengi tunakuwa maofisini tofauti na wa Lema na Mbowe

    TATIZO lenu ubabaishaji umedhidi eti ofisini anzisheni chama chenu cha watu wa ofisini wachumia tumbo wakubwa hakuna mnachofiri zaidi kufkiria dili kwenye ofisi za watu kama rafiki yenu ZANA ZA KILMO(ZZK)
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, tatizo mashabiki wako wengi tunakuwa maofisini tofauti na wa Lema na Mbowe

    afadhari umeliona mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, tatizo mashabiki wako wengi tunakuwa maofisini tofauti na wa Lema na Mbowe

    wasomea tumbo utawajua tu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ahmed Rajab: Laana iliyoipiga CHADEMA

    Hata huko kijijini kwao hakuna kituo cha afya, hakuna madawati wanafunzi darasani wanakaa chini na leo kwasababu umeshiba umewasahau hata wazazi na ndg zako waonapigika huko kijijini.
Back
Top Bottom