mckenzie
JF-Expert Member
- Apr 8, 2013
- 344
- 139
Huhitaji kufikiria cha kusema, na hata ukisema kitu kipya ama cha maana ni "by-the-way" tu ila ujumbe ni mrahisi tu kwa level ya wananchi wetu vijijiji: Rais anatoka chama gani? Ilani inayotekelezwa ni ya chama gani? Mawaziri wote chama gani? RC? DC? Duh, is this level playing field in politics. Sheria zinasemaje?