Recent content by Mwanansuke

  1. M

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Mimi naona jamaa katumwa na Mwamnyange - akatae, watu waingia barabarani kutwangana, baada ya 3hrs, tuambiwe state of emergency, sisi kama jeshi hatutambui yeyote, nyambafu watu walale saa 9 mchana, chacha,mwita na marwa wafanye kazi.........nukira wigure.
  2. M

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Huna Lolote- unachokiongea ni taarabu....nyambafu, kipindi hiki lazima kieleweke, au watu wakanyagwe buti na kufungiwa ndani saa 9 mchana kama wafunga ndo wenye akili za kijinga kama zako watajua mana. pole
  3. M

    GE2010 Tundu Lissu naye mwendo mdundo...!

    CCM mavi yanagonga chupi -----timu imekamilika.:thinking:
  4. M

    Je kuna umuhimu wowote kumuandalia Chakula mumeo wakati housegirl yupo?

    Kwa Ushauri tu, rejea katika mafundisho ya kidini (labda uwe mpagani), wanume wanaaswa kuwapenda wake zao, na wake wanatakiwa kutii...chakula cha mumeo au nguo zake za ndani kwa mfano usimwachie house girl kufanya, siyo mfumo dume wanao kushauri wengine bali ni ishara ya heshma na kutii na...
  5. M

    Zitto Kabwe Na Ajenda Yake Moja

    Mimi hizi porojo za Zitto hazina maana kwangu, siku zote mazuri hujitenga, na watu kuyashuhudia sio kumwaga misifa mingi kama robot.Ningekuona wa maana kama ungetoa thatmini ya mafanikio jimboni mwake k.v. mashule, hosipitali, maji, barabara.Wanaotakiwa kuhusishwa na mafanikio directly ni watu...
Back
Top Bottom