Recent content by Mwanangikolo

  1. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Uchafu unaotolewa kwenye mifereji Barabara ya Bwiru-Kitangiri na kuachwa muda mrefu, unapunguza ukubwa wa barabara

    Moja kwa moja kwenye mada! Kuna muda mpaka unajiuliza hivi huu mkoa kweli una viongozi au ni vile wako bize na timu yao ya Pamba Jiji. Barabara ya Kona ya Bwiru kuelekea Kitangiri na inayounga mpaka Bwiru, pembezoni mwa barabara kumejaa uchafu unaotolewa kwenye mifereji ya barabara hiyo...
  2. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unajitahidi kwenye huduma ya maji ya bomba?

    Morogoro mjin 😂😂
  3. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bondia Hassan Mgaya afariki Dunia baada ya kupigwa kwa TKO

    Hiyo ndo Maana halisi ya knock out ya mama
  4. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Tuliosoma SAUT MWANZA (main campus) tukutane hapa

    Kiufupi nmepta pale kwenye ujenzi wa jiji la mungu kuanzia 2016-2020, nmekaa hostel za ngulelo, junior, freemason. Nawakumbuka magwiji awa fr.mabula,fr.maziku,prof.bilame,prof chiteji(rip my best friend ever😭😭), prof ndabanenze,fr.mukamwa,sir Octavian mahamba,prof Spillane!..... Asee ni weng...
  5. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania MSAADA; hivi kwenye ule wimbo wa Nandy na Maua Sama wanaposema " siku hizi bila beat naenda ata akapela" walimanisha nn?!!

    Kama kichwa kinavyojieleza..nahitaji ufafanuzi wa huo mstari kwenye wimbo wa hao mabinti wawil ambao inasemekana wanapenda sana kwichkwich! Merry Christmas 🌲
  6. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

    Ahsante kwa ushauri mkuu..ntumie njia ipi kujua kama amesajiliwa?
  7. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

    1.yupo magomeni mapipa 2.sijajua kama kasajiliwa!! Na je tatambua vp kama kasajiliwa? 3. Jumla ni Euro 1000 kuniunganisha na mwajiri na kupata visa pamoja na work permit na tiketi pia kwahyo jumla Euro 1500 4.kaniambia hyo ntafanya me mwenyewe kupitia hosp atakayonielekeza
  8. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

    Sawa mkuu ntafanya hivo ..kazi aliyoniambia ni kwenye kiwanda Cha nyama na ujira ni Euro 1300 kwa mwez chakula na kulala ni juu ya muajiri
  9. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

    Ntajua vp kama amesajiliwa mkuu..? Kazi aliyoniambia ni kwenye kiwanda Cha nyama na mshahara ni Euro 1300 kwa mwez
  10. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

    Hapana Hawa nimefika ofisin kwao kabisa maeneo ya magomen
  11. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Nimepata agents wa kuniuanganisha na kazi nchini POLAND. Je ni nitapa au nitaliwa hela yangu tu Bure na kazi nisipate

    Me ni mwenyeji wa Kanda ya kati uko mkoa x ila kwa sasa nipo mjini Dar baada ya kupata huu mchongo. Kuna jamaa angu alinstua kwamba nije Kuna kazi imepatikana uko nje ya ulaya katika nchi ya Poland. Basi nikawa nimekuja toka wiki iliyopita kufatilia basi akawa ameniunganisha na uyo agent na...
  12. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Shukran Waziri Mkuu Majaliwa kujumuika nasi Karimjee Hall Kumuaga Wakili Mzee Mkono, ila hiki cha FFU wako sijakipenda

    Msafara wa mzee wetu mzee mkono umenipita apa mwanza maeneo ya ghana rock city mall kiukwel mzee kasindikizwa na watu weng sana.. Nngependa kujua upo gari ipi jamaa ang genta ili nkupe ata mkono
  13. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kukutana na Mauzauza gani ya giza/uchawi katika Nyumba ya Kupanga au ulipohamia nyumba mpya?

    Kwahyo hvo vinavyokula mbao navyo ni dalili ya ushirikina ndan ya nyumba?
  14. Mwanangikolo

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa wapi hawa jamaa wakiwa kwenye peak?

    Nyumba ip pale karume mzee mana nmekaa almost 3years kwa mzee mmoja anaitwa mhando r. I. P kwake uyu mzee alkuwa mshua masta an
Back
Top Bottom