Recent content by MWANAMIKOLA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mariam Biriani amevuna alichopanda kuna la kujifunza

    Watanzania tunatumia mitandao kwa njia ya ujinga kabisa wengi wetu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya IMF: Mamlaka za Tanzania zimegoma kutoa kibali cha kuchapisha data za uchumi

    Alafu mbona mkulu uwahajibu tuhuma hizi?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Rweyongeza: Mfumo wa Elimu ukivurugwa na Mbumbumbu kupewa madaraka, Amani ya Taifa itatoweka

    Asante Mheshimiwa askofu lakini uwa akija kanisani yule Mheshimiwa mnamsifia tuu hamumpi ukweli
  4. M

    JamiiForums Tanzania CAG Assad: Bunge halifanyi kazi yake! Wanatakiwa kuuliza matumizi nje ya bajeti yaliidhinishwa kwa mamlaka ipi

    Sishangai coz kuna hata wanaume wakiambiwa mapungufu yao na wake zao hutishia au kuwaacha kabisa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema afungiwa Mikutano 3 ya Bunge

    Mbona bunge hili limekua bovu kuliko mabunge yote yaliyopita Je tatizo ni spika ama bunge linakubali kuongozwa na serikali
  6. M

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Makonda kwa Pierre Mzee wa Liquid ni udhalilishaji na kinyume cha haki za binadamu

    Acha Mheshimiwa aendelee kumlea huyu mtu atakuja kum uumbua siku moja
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bunge laazimia kutofanya kazi na CAG kufuatia kauli yake juu ya 'udhaifu wa Bunge'

    Kwani kakosea Mie naona yuko sahihi kabisa
Back
Top Bottom