Recent content by Mwanamayu

 1. Mwanamayu

  Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania: Wagonjwa wa COVID19 wamepungua SANA nchini

  Idadi ya kupungua ni ipi? Na imepungua kutokea ngapi? Na speed ya visa vipya ni ngapi? Je, katika kupungua huko, wangapi wanaondoka duniani kwa style ya one way?
 2. Mwanamayu

  Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

  Huyu nae kwa nini hasifanye live streaming kwenye internet applications?
 3. Mwanamayu

  Bei ya mafuta nchini yashuka kwa kiasi kikubwa

  Umeambiwa bei imeporomoka duniani, sasa unashukuru vipi chama chetu pendwa?
 4. Mwanamayu

  CDC Africa: Vipimo vya Corona Virus vinavyotumika Tanzania vinafanya kazi vizuri

  Return Of Undertaker, Je, anampinga Dr Magufuli baada ya kurudia (replicate) alichofanya Dr Magufuli? Maanake aliwaambia wafanye replication.
 5. Mwanamayu

  Matokeo ya vipimo vya "sampuli za Magufuli" ni ya kizushi

  Kuna false negative vile vile.
 6. Mwanamayu

  Matokeo ya vipimo vya "sampuli za Magufuli" ni ya kizushi

  Kwa wabobezi wa njia za utafiti wangeweza kufanya yafuatayo. Ili kuangalia kama vifaa vinafanya kazi ilibidi kupeleka sample kubwa ya watu bila kujali afya zao katika mafungu mawili au matatu au zaidi. Yaani, sampuli ya bwana Y kugawanywa mara mbili au zaidi na kila fungu kupewa jina tofauti na...
 7. Mwanamayu

  Matokeo ya vipimo vya "sampuli za Magufuli" ni ya kizushi

  Majibu ya maganda ya korosho yakoje?
 8. Mwanamayu

  Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

  Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, toleo la 2005, ibara ya 71 "Mbunge atakoma kuwa Mbunge na ataacha kiti chake katika Bunge litokeapo kati ya mambo yafuatayo." Kati ya hayo mambo ni kifungu kidogo cha (f) kinasema: "iwapo Mbunge ataacha kuwa mwanachama wa...
 9. Mwanamayu

  Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

  Hivi sheria ya uchaguzi inasemaje endapo jimbo linakuwa wazi dakika za majeruhi?
 10. Mwanamayu

  Kukata mauno kwa Mpenzi wako sio dhambi

  Dhambi itoke wapi wakati kiuno kimekuwa designed kukatika. Na bila kukatika, matatizo ya mgongo na kiuno yanaanza. Mwanamke ana namna yake ya kukatika (roundish/ wiggling) na mwanaume namna nyingine (back and forth).
 11. Mwanamayu

  FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA (T) na KUB kwa Umma wa Watanzania kuhusu Corona (COVID-19)

  wa kule kwa 9/11, wakati wa janga lile alifichwa. Pia yawezekana kuna sababu za msingi za kumficha na sio kujificha.
Top Bottom