Recent content by MwanaMagongo

  1. M

    CRDB Bank makao makuu na kelele kwa majirani

    Tunashangazwa na kelele za jirani zenu CRDB Bank makao makuu, Ali Hassan Mwinyi. Mfano leo tangu saa 11 alfajiri wanefungulia mziki mkuubwa wakati muda huo hakukuwa na watu hata 10. Na mara zote hata wakiwa na promotion tu magari yao makubwa yenye PA system yatakuwa kupaki nje na sauti kuubwa...
  2. M

    Misururu ya magari kwenye misafara ya ziara za viongozi wetu ni ushamba wa kizamani sana!

    Nini msururu wa magari, wabunge wamesema waongezewe na msafara wa ndege, zilizopo haziwatoshi
  3. M

    Plot4Sale Viwanja Dar Vikindu

    Vikings wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani, rekebisha si Dar es salaam
  4. M

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    Ni kweli hufahamu kuwa Siwa alikuwa DOI enzi za Upson? Hujui Kipilimba na Diwani hawakuwa na uzoefu ktk idara kama Siwa. Tena Kipilimba aliomba kuondoka akiwa mdogo mno hata uzoefu hakuwa nao. Upson mwenyewe aliteuliwa akitokea Mgulani JKT. FYI RO yupo, Kina Mombo wapo TISS bado na wqnafanya...
  5. M

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Sasa mbona unakasirika na kits wenzio pumbavu, kwani wote lazima tukubaliane na maaskofu
  6. M

    Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

    Hujawahi kumsikia Tulia Ackson, Nape Nnaye. Jerry Silaa, Kuna mkataba wa Kanisa Katoliki na Serikali wa kurudishiwa mashule na hospitali wakati taasisi nyingine hawakurudishiwa aliwahi kuulizwa nani kabla hawajasaini?
  7. M

    Umoja wa Wakuu wa Shule Manispaa watangaza Mgogoro na DC wa Tabora Mjini Mh. Eric Komanya Kitwala

    Poyoyo Kitwala, nilimtabiria mwisho mbaya, anguko kubwa na sasa anavua alochopanda
  8. M

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    I will take both, ila nasubiri mvua mwisho wa mwezi huu in shaa Allah
  9. M

    GE2020 Bila Dkt. Bashiru kuingilia kinachoendelea Tabora Mjini, Jimbo linakwenda Upinzani

    DC Limbukeni kweli yule jamaa, anaona UDC ndo kila kitu, mshaaambaa. Eti vile alikuwa ktk panel ya waCCCM waliohakiki mali za chama akapata UDC anaona kayapatiia Maisha, na huyo mgombea Mwakasaka naskia kamla Mil 90 waist wajumbe hawahonga mil 36 tu nyingine kapeleka pwani
  10. M

    INAUZWA Miche ya kisasa ya matunda inauzwa

    Minazi ya aina gani? Ile mbegu ya pemba unayo?
  11. M

    Upoyoyo wa DC wa Tabora

    Bw Komanya Kitwala na akili za kuharibiwa na upofu wa madaraka. Alitumika kwenye kura za maoni baada ya mzigo kupewa yeye agawie wajumbe kwa ujira wa Tsh 60m Lengo likatimia. Sasa kajisahau anawapanda kichwani hadi viongozi wa chama ambao wangemlinda, kasababisha sasa jimbo wanajitwalia CDM...
Back
Top Bottom