Recent content by Mwanakwetuuu

  1. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

    Mwenyewe amefafanua CLUBHOUSE yaani karatasi ya mistari haina athari kwake hadhi za ubalozi ni more advanced
  2. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji Mwanza: Mamlaka itengue uteuzi wa Mkurugenzi wa MWAUWASA

    sio mwanza tu nchi nzima Kwa CCM kila kitu kinafeli
  3. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Maximilian Machumu anatishiwa maisha kutokana na kupinga bandari kuuzwa kwa Waarabu

    Wahuniiiii hao mwambieni atembee na bastola yake wakitokea afe yeye au wao
  4. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu

    Polisi,CCM,wanahabari ndio adui wa taifa
  5. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jiji la Dar ikifika Jumamosi, Lodge, Guest na hotel za nyota ndogo zote hujaa. Shida nini hasa?

    Watu wanatafuta watoto ,umesahau Joni alisema fyatueni tu
  6. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania Jemedari Said ni aina ya watu wenye chuki na wivu mbaya

    jemadari wakati anacheza mpira pale kariakoo _Lindi ndiye mchezaji aliyekuwa msomi enzi zile _kidato cha sita pale ndanda aisee siku zinakimbia
  7. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania Yanga Ilitumika pakubwa katika harakati za kudai Uhuru wa Tanganyika, inastahili kuenziwa!

    Saizi wamegeuka kuwa wao ndio wakoloni kuwaumiza waafrika wenzao
  8. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

    CCM ni chavi chavi wa nchi
  9. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi kuishia Boko hapo Serikali imechemka, ilipaswa ifike Bunju mwisho

    Ilifaa ifike vikindu sema akili za CCM Zipo Kwa mtk
  10. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania CLOUDS: Mishahara ya walimu inadhalilisha utu wao

    CCM wameharibu elimu ya Tanzania hadi watu hawaoni mbele wala nyuma
  11. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    Vaa barakoa waafrika bana
  12. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    COVID is around watanzania tumezoea kufanya Siri haya ndio matokeo yake ugonjwa bado upo watawala wa Tanzania wamezoea kuficha kila kitu,vaa barakoa
  13. Mwanakwetuuu

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    huyo ni mgoni
Back
Top Bottom