Recent content by mwanakwetu

  1. mwanakwetu

    Absalom Kibanda amnanga Tundu Lissu, asema Zitto amechezewa mchezo mchafu

    Kibanda aliyeandika haya sio huyu tunayemjua sasa. Ameshakuwa Wakala wa wale wanaotaka kuona Tanzania haisongi mbele sababu ya kushabikia matumbo yao. Unless sasa anatuambia kwamba hiki alichokiandika awali alikiandika kiushabiki ama alishanunuliwa na viongozi wa CHADEMA kipindi hicho. Kwani...
  2. mwanakwetu

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

    Tunaheshimu maamuzi ya mahakama maana sheria na haki ni vitu viwili tofauti. Kama ilikuwa ni haki ya Mahanga kushinda basi itabaki hivyo ila kama hakushinda kwa haki basi tusubiri ya Arumeru Mashariki..... sijamaanisha kwamba atakufa bali haki itapatikana hata kama ni nje ya mahakama.
  3. mwanakwetu

    Kamati Kuu ya CCM Yaridhia Kikwete kusuka upya Baraza lake la Mawaziri

    Its true.. hatimae Rais ameridhia kuvunja baraza la mawaziri...
  4. mwanakwetu

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Nadhani Zitto alitoa ufafanuzi mzuri na tulio wengi tunakubaliana nao kwamba Pinda hana tatizo ila mawaziri waliotajwa wakiongozwa na waziri wa fedha ndio cancer ya nchi hii. Kwa vile bunge halina mamlaka dhidi ya mawaziri wengine wote ambao ni wateule wa rais akiwemo rais mwenye basi...
  5. mwanakwetu

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Wanajamii hivi kuna mtu mwenye rekodi ya matokeo ya uchaguzi jimbo la Arusha mwaka 2010? kama ipo niaomba ili tufanye tathmini ya uchaguzi mdogo ujao ikiwezekana tufanye projection pia... Wakati wao wanawaza wamsimamishe nani sisi tunafanya tathmini tutashinda kwa kiwango gani. Hatua 2,000 mbel...
  6. mwanakwetu

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Hivi huyu Livingstone ana uhusiano wowote na Job Lusinde?
  7. mwanakwetu

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Acha masihala bwana, ni ya kweli hayo? kuna mahali nilisoma wengine wanadai alikuwa Houseboy wa John Komba. Hizi kashfa zote amezichokonoa mwenyewe sasa zinamgharimu maana watu sasa wanashauku ya kufahamu wandani wake.
  8. mwanakwetu

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Sasa kwa kiwango hicho cha elimu kweli anaweza kuwa mwakilishi wa wananchi wa Mtera bungeni na kushiliki kikamilifu kutunga sheria zitakazoliongoza taifa hili? Si ajabu siku za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa ya zomea zomea toka kwa wanabunge wavivu wa kufikiri maana wengi wao wanapata shida...
  9. mwanakwetu

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    Nadhani wengi wetu tumefuatilia kwa ukaribu sana kampeni za uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki, na tumesikia mengi lakini kubwa lililobeba vichwa cha habari vingi ni suala la Mhe. Livingstone Lusinde kushusha matusi jukwaani. Ni jambo ambalo halikutegemewa kufanywa na mtu mwenye hadhi...
  10. mwanakwetu

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Mimi nimechelewa kula daku maana nipo kwenye Kwaresma.... Mungu atanisamehe maana anajua nafanya jambo la haki kufurahia huru dhidi siasa za mabavu zisizo na tija kwa Wana Arumeru Mashariki na Watanzania kwa ujumla! Mungu Ibariki Tanzania, Mungu bariki Mabadiliko!
  11. mwanakwetu

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Kwani NEC wanakazi gani ya zaidi ya kusimamia uchaguzi ndugu yangu? au ulidhani wako pale kupanga matokeo? Kama walikuwa wakipanga matokeo basi ni huko nyuma sasa hv hawawezi kushindana na Technology wataumbuka.... Ila pole najua hupendi kusikia haya matokeo.
  12. mwanakwetu

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Dr. Slaa na Zitto Kabwe wamethibitisha sasa hivi kuwa CDM imeshinda kwa zaidi ya kura 6000 mbele ya CCM. Its all over now lets celebrate....
  13. mwanakwetu

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Dr. Slaa nae amethibitisha kupitia Twitter kwamba CDM inaongoza kwa kura Arumeru, so to mean CDM is the overall winner though he used technical political term! We are leading.....
  14. mwanakwetu

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Wewe nani kakwambia waliopiga kura jana jumla yao ilifika laki moja na ushee... ile ni idadi ya waliojiandikisha sio waliopiga kura kaka. Kuwa makini kidogo.
Back
Top Bottom