Recent content by mwanakaya

  1. mwanakaya

    Mtatiro: Rais Magufuli ana dalili zote za kuwa dikiteta

    Tumia you "were" right. Vinginevyo jisikie fahari zaidi kutumia Kiswahili! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mwanakaya

    Miaka miwili ya matumaini na mateso

    Nadhani umeandika kwa hasira sana. Ungejipa muda utafakari cha kuandika!
  3. mwanakaya

    Miaka miwili ya matumaini na mateso

    Anaandika Tundu AM Lissu, MB Ndugu na marafiki zangu popote mlipo, Wananchi wenzangu, Salaam, Leo ni tarehe 7 Septemba, 2019. Majira ya mchana wa siku kama ya leo miaka miwili iliyopita, nilitoka kwenye Ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma, na kuelekea nyumbani...
  4. mwanakaya

    Dar es Salaam City in Photos

    Dar es Salaam from 33th floor, TPA HQ Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mwanakaya

    Nani zaidi kati ya Hamie Rajab, Eddie Ganzel, Elvis Musiba, Ben Mtobwa?

    Kwangu mimi Marehemu Ben Mtobwa alikuwa nguli haswa. Karibia nimesoma vitabu vyake vingi hadi kile cha mwisho mwisho cha KIGUU NA NJIA.
  6. mwanakaya

    Photographers' Corner

    Sunset. Picha imepigwa Oceanic Hotel Zanzibar, September 2018
  7. mwanakaya

    Paul Pogba; Majuto ni Mjukuu.....

    Wakati anauzwa kwenda kujiunga na Juventus mwaka 2012 wengi walisikitika sana. Walisikitika kumuona kijana mweusi mwenye kipaji kikubwa akiondoka kwa sababu rahisi. Wakati ule Pogba alitoa sababu kwamba anaondoka kwenda kutafuta sehemu atakakopata muda mwingi wa kucheza. Kijana huyu wa...
  8. mwanakaya

    Eden Hazard; matumizi mabaya ya rasilimali

    Una hakika kuna mahali nimeandika aliibeba "peke yake"? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwanakaya

    Eden Hazard; matumizi mabaya ya rasilimali

    Mkuu, hayo ni maoni yangu. Ni ruksa na wewe kuwa na maoni yako! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mwanakaya

    Eden Hazard; matumizi mabaya ya rasilimali

    Tangu asajiliwe kutoka klabu ya Lile ya Nchini ya Ufaransa kujiunga na Chelsea msimu wa 2012/13 Eden Hazard amekuwa mchezaji bora sana. Pamoja na kutoka klabu ya kawaida kwenye ligi ya daraja la chini lakini alionyesha kwamba ana kipaji. Tena kipaji kikubwa. Nimemuangalia Hazard mwaka huu...
  11. mwanakaya

    Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

    Inategemea unalalaje. Inashauriwa kulalia ubavu wa kulia zaidi kuliko kushoto. Sababu kuu ni moja, ubavu wa kushoto ndiko moyo ulipo na ndio maana ukilalia ubavu wa kushoto kwa muda unachoka. Jaribu hii utaona. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mwanakaya

    Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

    Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa. Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyo inatulinda masaa 24 ya siku, Siku zote 7 za wiki, katika mambo yote yanayoweza kuhatarisha maisha...
  13. mwanakaya

    Tundu Lissu: Paper Tigers wanatushauri tususie chaguzi zijazo ili CCM wapite bila kupingwa

    Naomba na mimi kuchangia mjadala huu kidogo. Na mapema kabisa niwaombe radhi wote nitakaowakwaza, kwa sababu nafikiri nitakachosema kitawakwaza wengi humu. Nimefuatilia mjadala wa yaliyojiri Korogwe Vijijini na nikiri nimeshuhudia utoto wa kisiasa wa kutisha na kusikitisha sana. Nimeona kile...
  14. mwanakaya

    Pep Guardiola, Nakutaka Radhi. Nisamehe!

    Aliianzisha Johan Cruyff. Baadae ilipotea Pep akaja kuirejesha na kuidevelop. Kwa hiyo huwezi kuacha kumpa credit Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom