• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Recent content by Mwanajamii

 1. Mwanajamii

  MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

  Chadema wanasema CCM ilishafutwa pengine ndio maana hakuweka
 2. Mwanajamii

  MSOMAJI RAIA: USALAMA wa TAIFA (TISS) ndiyo "... kamati ya ufundi" YA siasa za CCM, tufanyeje?

  TISS wanapimwa kwa mabaya tu hawana mazuri. Kama Mwandishi anajua mabaya yao TISS basi na mazuri yao anayajua angeweka yote jamvini kisha kazi ya kuhukumu angetuachia wasomaji wake.
 3. Mwanajamii

  Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

  Bora hata limefungiwa, linataka kulitumbukiza Taifa katika machafuko hili gazeti, mbona Magazeti mrngine hayafungiwi?
 4. Mwanajamii

  Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

  walifungie maisha kwa muda usiojulikana hitoshi
 5. Mwanajamii

  Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

  Hawezi lolote huyo, mafisadi wote wameshabainika TANESCO.
 6. Mwanajamii

  TBC Habari saa mbili usiku Leo: Waalimu kote nchini wametii amri halali ya serikali!

  Saa mbili usiku wa lini leo au jana? Hebu toa uhakika wa jambo hili.
 7. Mwanajamii

  Gazeti la Dira: Kashfa ya kuhongwa - Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango watajwa

  Lazima naye yumo. Si ulisikia hotuba yake ya msemaji wa kambi ya upinnzani, Wizara ya Nshati na madini.
 8. Mwanajamii

  Gazeti la Dira: Kashfa ya kuhongwa - Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango watajwa

  Tunasubiri, MWANAHALISI litawataja maswahiba wake CDM waliokula mlungula.
 9. Mwanajamii

  Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

  Leo Pumba za Mapeeeema! ikishachomwa wewe ufaidikeje?
 10. Mwanajamii

  Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

  Hizi siyo zama ambazo ulisoma wewe, Mwanafunzi wa chekechea anaweza kupembua Mchele na Pumba, waacheni wawaburuze Walimu wao mahakamani kwani nao wanayohaki hiyo.
 11. Mwanajamii

  Dr. Slaa: Hakuna huruma kwa wabunge wala rushwa

  Hapo kwenye maandishi mekundu, naona kama SLAA amejikanyaga kanyaga vile. Kwa nini asitamke wazi kuwa watawafukuza uanachama? Anaogopa nini?
 12. Mwanajamii

  Ni J. Heche leo 29/07/2012 alinguruma IRA!

  E Emwenyezi Mungu usikilize kilio cha huyu STK ONE, anayelilia Ukimwi na aupate kabla ya mwaka kuisha, na wote tuseme Amina.
 13. Mwanajamii

  Kwanini KUTAJA ni ISSUE?

  Naanza mimi kuwataja: Waziri kivuli, Wizara ya Nishati Madini. Unaweza kuendeleza
 14. Mwanajamii

  Toka Singida: Dr. Kitila Mkumbo apandishwa mahakamani rasmi...

  Kwa vile ni Dr. Ndo maana , laiti angekuwa Prof. angalau angejua la kufanya , haoni wenzake akina Baregu na Safari wanavyotumiwa na CDM lakini, wanakua wajanja? wajinga ndiyo waliwao , acha apamabane na kesi na mwishoye yatamshinda na atasema ukweli alivyojidanganya kwa CDM.
Top