Recent content by Mwanaharakati16

  1. Mwanaharakati16

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sehemu zinazofundisha lugha ya kijerumani, kichina na kituruki, Dsm

    Process zipoje nataka kujifunza kichina mkuu
  2. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Hyo movies inaitwajee mzee
  3. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Under the Queen umbrella nimeielewa kama sema cjaicheki bado hope ni ya moto mkuu
  4. Mwanaharakati16

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa na kucheleweshewa mkopo kwa Wanafunzi wa elimu ya juu sio haki

    Wakuu miaka ya nyuma mikopo ilikuwaje daah maana mwaka huu wamebana madogo kibao wameomba mkopo lkn wanapigwa tarehe tuu na hata ukupata huchezi mbali ni 50% tuu
  5. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujuzi juu ya kukwepa deni instagram sponsored AD

    Sawa nashukuru mkuu
  6. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujuzi juu ya kukwepa deni instagram sponsored AD

    Naomba nikufate pm mkuu
  7. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujuzi juu ya kukwepa deni instagram sponsored AD

    Heee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akili ipo vzr mzee
  8. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujuzi juu ya kukwepa deni instagram sponsored AD

    Nimeangalia sijaona mkuu
  9. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujuzi juu ya kukwepa deni instagram sponsored AD

    Asante brother
  10. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujuzi juu ya kukwepa deni instagram sponsored AD

    Habari Wakuu Aisee Mimi nimekuwa nikifanya biashara Instagram kwa kutumia hizi Instagram sponsored ad na kuzifanyia malipo lkn kutokana na changamoto za maisha nmeyumba nakuja kucheki nina deni kama la 300 dollar na mfukoni sina kitu [emoji25] Hivyo nimeona huko Instagram watu wanasema uwalipe...
  11. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hapa vp wazee natoboa au napotea ??
  12. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Alietengeneza Mkeka wa SportPesa atume tutembee na code
  13. Mwanaharakati16

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee tushushe mikeka mda umeivaaa[emoji4]
  14. Mwanaharakati16

    JamiiForums Tanzania Niliomba Chuo first selection IFM in Acturial Science nimeambiwa ni over capacity nifanyaje?

    Ni zoa zoa kwa kipindi hicho zamani lkn saivi watoto na div 2 zao wamegomewaa kuingia[emoji23][emoji23]
  15. Mwanaharakati16

    JamiiForums Tanzania First round selection

    [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom