Recent content by MWANAHARAKATI MWEMA

  1. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Gwajima kwa Jeshi la Polisi zinaweza kupelekea kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu

    Baada ya kufungwa kanisa ni nani alipewa jukumu la ulinzi wa kulinda ili wahumini wasiingie ndani.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Larry Madowo, Minister wa habari mbaya za Afrika

    Waafrika sijui munashida gani hivi kama hutaki mabo mabaya kwenye nchi yako si utende haki shida nini hivi kuruhusu watu wajichagulie kiongozi wanayemtaka inawauma nini ,hii nchi ni ya wote haiwezi kumilikiwa na wakina fulani tu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtoto mdogo kama huyu anapigwa risasi, mmeondoa uhai wake kikatili sana

    Mfano wako ni wa hovyo sana, hivi kama unazo akili timamu unaweza kuthaminisha uhai na mali, utambue kuwa mali iliyoharibiwa serikali ndiyo inapaswa kufidia kwa kuwa katiba inaeleza kwamba moja ya jukumu lake la msingi ni kulinda mwananchi sasa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ufafanuzi wa Vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025

    Moja ya mbinu ya kutatua migogoro ni kukili kosa kwamba mulikataa kusikiliza wananchi kana kwamba nchi hii inamilikiwa na ccm. Alafu muliiba uchaguzi na kujipachika madaraka. na mulikataa watu kuandamana kwa amani, na walipoandamana mukaua watu wengi watoto ,wamama, wazee,vjjana wote hawakuwa na...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu simuelewi. Naombeni mawazo yenu

    Ila wew jamaa ni choko sana .
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

    Vifaa vyao wanapitisha wapi?
  7. M

    JamiiForums Tanzania FAFLU AMEIFANYA SIMBA ICHEZE OVYO SANA KWA MFUMO WAKE, PIRA BIRIANI HAKUNA TENA.

    Huyo kocha hana uwezo, licha ya misimu mingine kuwa migumu ila mpira ulikuwa unachezwa .
  8. M

    JamiiForums Tanzania FAFLU AMEIFANYA SIMBA ICHEZE OVYO SANA KWA MFUMO WAKE, PIRA BIRIANI HAKUNA TENA.

    Mimi nikiwa shabiki wa simba kikweli siridhiki na mbinu za FADLU, SIMBA imekuwa timu ambayo haichezi kama timu ambayo tumeizoea na tunafurahia mpira. Watu wanampa sana sifa huyu kocha lakini uwezo wake umeishia hapa hawezi tena kuibadili timu hii naomba atafutwe kocha mwenye uwezo wa mbinu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Chadema inapoomba kushiriki uchaguzi, huku ikiendeleza kampeni yake ya N. R. N. E, Tuielewaje?

    Hujui wewe kwani polisi wakifika na wakasema wanakagua vituo na wako doria wakaingia kwenye kituo utawazuia na huku wameweka kura feki kwenye mavazi yao utazuia wewe wasiingie.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chadema inapoomba kushiriki uchaguzi, huku ikiendeleza kampeni yake ya N. R. N. E, Tuielewaje?

    Watu wajinga h W WALIZUIWA NA NANI? SHERIA HAISEMI KAMA HUYO MSAJILI ALIVYOSEMA KILICHOPO NI KUWA WATU WANAJARIBU KILA NAMNA KAMA SERIKALI ITAONA HAIBU IFANYE MAREKEBISHO LAKINI HAKUNA SHERIA ILIYOWAZUIA ILA KWA KUWA WANAOSIMAMIA IZO SHERIA NI SEHEMU YA SYSTEM NA INAWEZEKANA WATU WA NDANI YA...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti Chadema Kwenye uchaguzi wa Mapema wa 2028 Katiba inamruhusu!

    Nimeuliza kupata ufahamu kuhusu hilo tu nijibiwe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatoa majibu na msimamo wake kwa Azimio la Bunge la Ulaya la Mei 8, 2025

    Vipi kuhusu watalii, uwekezaji na huduma za taasisi kama zote za kigeni zilizopo, kanisa la roma lina hospitali ngapi nchini na taasisi za kielimu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi leo 26/04/2025 naachana na kamari (betting)

    Nimeshafanya maamuzi siwezi kurudi tena.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi leo 26/04/2025 naachana na kamari (betting)

    Habari wana jamvi mimi namshukuru muumba wa mbingu na ardhi, mimi ni mfanyakazi wa idara fulani nina miaka zaidi ya kumi kazini, kuna ndugu yangu mmoja mzanzibar alinifundisha kamari [betting] mwaka 2015. Tokea nimeanza kubeti kuna mambo mengi nimejifunza kutokana na michezo hii, mimi...
Back
Top Bottom