Recent content by Mwanahabari Huru

  1. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Chadema Arusha yazindua Join the Chain Ambassadors kwa mafanikio makubwa

    Kazi nzuri sana makamanda
  2. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kususia mkutano wa vyama vya siasa, mkutano umebuma kabla ya kuanza

    Hatuwezi kushiriki chakula gizani
  3. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe mbeba maono asiyepoteza mwelekeo

    Sasa wewe unajiona upo sawa?
  4. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe mbeba maono asiyepoteza mwelekeo

    Leo ni siku muhimu kwa kaka, mwenyekiti na shujaa wa kupigania uhuru wa kweli kwa nchi yetu. FREEMAN AIKAEL MBOWE. Hii ndiyo siku aliyobatizwa. Baada ya kuzaliwa mwezi wa tisa, wazazi wake kwa ushirikiano na wadhamini wake wa ubatizo Mwl. JULIUS NYERERE (baba wa taifa) walisubiri hadi siku...
  5. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wazi wa Mwenyekiti Bavicha taifa kwa Mhashamu Baba Askofu Methodius Kilaini, Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba

    Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismas na mwaka mpya. Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama yalivyochapishwa katika gazeti la Mwananchi. Umesema kutokana na changamoto za uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 umetaka tusameheane kwa yote yaliyotokea...
  6. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri katika mapokezi ya Tundu Lissu leo Oktoba 19 mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

    Arusha kuna kimbunga tuko hapa tokea jana
  7. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Mapokezi ya Tundu Lissu Kongwa na Dodoma Mjini

    Nitakuja na pic mda si mrefu tuko huku
  8. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Tupo nyumbani kwa mgombea urais wa Ccm Chato wamesema wao watamchagua Tundu Lissu
  9. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

    Asante sana Kamanda Mtifu Molemo, tumeingia usiku sana hapa na asubui ya leo ni shamra shamra sana hapa Dodoma.
  10. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Vigezo vinavyotumika kuteua Ma-RPC viangaliwe upya. RPC wa Arusha hafai

    Kabisa i salute you
  11. Mwanahabari Huru

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime Elias Ntirihungwa, awafuta Ukuu wa Shule ambao Walitembelewa na Esther Matiko

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime (Elias Ntirihungwa) ambaye ndiye Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini amewafuta Ukuu wa Shule (Sekondari) na Walimu wakuu (Primary) wote ambao Mhe Esther Matiko Mgombea Ubunge CHADEMA ametembelea Shule zao katika kipindi hiki cha Kampeni. Hii...
Back
Top Bottom