Recent content by Mwanafalsafa Mstoa

  1. Mwanafalsafa Mstoa

    Nashangaa bado kuna watu waamini kuna kiumbe kinaitwa Shetani

    Hakuna anayeweza kuthibitisha kwamba Shetani yupo.
  2. Mwanafalsafa Mstoa

    KUCHANGIA FIGO

    Usipoteze vitu ambavyo havinunuliki .
  3. Mwanafalsafa Mstoa

    Hivi mtu wa kawaida anatakiwa kunywa chai na vitafunwa vingapi?

    Mkuu Chai na Donuts/Vitumbua si balanced diet. Ushauri wangu jaribu kutafuta mtaalamu wa Afya ili akusaidie kujua ule nini kulingana na Umri wako, Uzito, urefu, Kazi unazozifanya hata Mazoezi unayoyafanya.
  4. Mwanafalsafa Mstoa

    Masters and PhD holders, mpoo? Karibuni tujadili mada hii

    Tittle ya kiswahili, Hoja za lugha ya kigeni.
  5. Mwanafalsafa Mstoa

    Kwanini kampuni za simu hutuma flash SMS badala ya zile za kawaida?

    Umewahi pia kujiuliza kwanini ujumbe au tangazo ambalo ilibidi litumwe kwa Flash sms litumwe kwa Txt sms?
  6. Mwanafalsafa Mstoa

    Rais Trump Ametimiza Tena Unabii Mwingine!!

    Sawa mkuu, Umejibu vyema!! Je, Kulikua na maana gani Mungu kuwaangamiza watu wa Sodoma na Gomola bali akashindwa kuangamiza Mawazo kuhusiana na tabia hiyo? Halafu anatabiri kwamba haya mambo yatakuja kutokea tena ikiwa anajua fika amewaumbia watu fikra hizo ovu? Sio inapatana na akili kwamba...
  7. Mwanafalsafa Mstoa

    Hebu tuache utani, hivi inawezekanaje CCM na Serikali wakaupotezea msiba wa mtu muhimu sana kwa Taifa kama Profesa Sarungi?

    Mkuu nadhani jamaa anafikiri kwamba mtu maarufu lazima azikwe kwa Mbwembwe nyingi kulingana na umaarufu wake huku anashindwa kutambua kwamba familia husika ndiyo hua inaamua mazishi yafanyike kwa utaratibu upi na watu gani wahudhurie. Wengine hawapendi Mbwembwe na unafiki toka kwa watu ambao...
  8. Mwanafalsafa Mstoa

    Biashara za Mo ngumu mpaka ameamua kuwa wakala wa bidhaa za wenzake sasa

    Mawazo ya vijana wa Tanzania kwasasa yanasikitisha sana!!
  9. Mwanafalsafa Mstoa

    Rais Trump Ametimiza Tena Unabii Mwingine!!

    Je, unaweza ukanitajia mfano wa Ushoga wa nyakati za sasa ambao unazidi ule uovu wa sodoma na Gomola?
  10. Mwanafalsafa Mstoa

    Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

    Bachelor degree in Agribusiness. Bachelor degree in Bussines management. Utajiri upo kwenye "Biashara" na "Kilimo" pia.
  11. Mwanafalsafa Mstoa

    Rais Trump Ametimiza Tena Unabii Mwingine!!

    Wote tunatambua kwamba tabia kama ubinafsi, tamaa ya fedha, na majivuno zimekuwa sehemu ya asili ya binadamu tangu zamani na pia tabia hizi zimeonekana sehemu nyingi katika masimulizi ya biblia. Je, tunapaswa kuzingatia unabii wa Biblia kuhusiana na ubinafsi kama ni sehemu ya dalili ya 'siku za...
Back
Top Bottom