Recent content by mwanadube

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya mjini apata ajali, mtoto afariki

    Hata kama ni kifungo kitamuhusu dereva wake kwani sugu alikuwa abiria
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Lema, nikitoka tu mahabusu ningeachana na siasa

    Mandela alikaa gerezani miaka 27 na baada ya kutoka akaja kuwa Rais na akawasamehe wote waliomfanyia fitna.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nabii anashindwa, Trump alitabiriwa miaka 16 iliyopita na katuni ya Simpsons

    Mbona Anna Ngwila hamkumchagua?4
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kiwango cha chini cha elimu kwa madiwani na wabunge kisiwe diploma?

    Mbona tumeshuhudia ma Prof, Dr nk kutoka ktk chama pendwa wakipitisha mambo ya ajaabu kbs!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Walokole wengi nuksi sana

    Kuwa mlokole tu sio tiketi ya kuuona ufalme wa mungu Bali ni wale wenye moyo SAFI
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Geita kapiga marufuku mikesha ya waumini wa kikristo

    Hakuna kitu kibaya kama kulewa madaraka. Hakika siku zake zinahesabika, ngoja ninote sehem
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Getrude Lwakatare apigwa stop kulipia wafungwa faini

    Bac wafu Bac adhabu ya fine bora ifutwe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu kuhusu hotuba ya Mh Rais Magufuli UDSM

    Fikiria ni wanafunzi wangapi wanasifa ya kujiunga na chuo kila mwaka, itawezekana Kwa hivyo vichache kuchukua wanafinzi wote?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya CUF Vs Pro Lipumba

    Mahamuzi ,ajehelezea,haonyeshe, tuhendelehe duuuu!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli ni Mwafrika kweli?

    We we ni mmoja kati ya wale wanne
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanasiasa 10 wa Tanzania wenye uwezo wa kutoa hotuba za kusisimua

    Kwa kutomweka Mchungaji Msigwa kwenye list yako sikuelewi kamwe.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Namkumbuka kwa mengi mchungaji Mtikila

    Nakumbuka alipowaita wahindi ni Magabachori wafusi wakaanza kuwapora wahindi!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mahojiano na aliyenusurika katika shambulio lililoua askari wanne

    Mkuu wanaofanya haya matukio huwa hawakurupuki husoma hali ya uwanja kabla ya kufanya shambulizi
  14. M

    JamiiForums Tanzania DAR: Askari Polisi wanne wauawa na raia 2 wajeruhiwa, silaha zaporwa!

    Leyland ashok za polisi zipo kama Noah
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa mabenki inafaa wafikishwe mahakamani kwa uhaini!

    Kilefu cha PLC mkuu huwa naiona tu kwenye majina ya baadhi ya bank
Back
Top Bottom