Recent content by Mwanachama hai

  1. M

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    wakukupa bei gani uandike huu ujinga hapa?
  2. M

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    sahau ndugu yangu Lema, Godbless ni mbunge wetu jimbo la Arusha kama uko usingizini unaota ngoja nikushtue uamke. hapa ni arusha tumechoshwa na siasa mbovu hatuko tayari kuleta mafisadi watutawale hawajui machungu yetu. Lema ni Mbunge wetu. God Chosen one. Yuko mapumziko ya muda tu anarudi...
  3. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Godbless Lema wewe bado ni Mh. Mbunge wetu tutapiga kura tena kudhihirishia ulimwengu wote na mafisadi wote kuwa wewe ni chaguo la wananchi wa Arusha. Tupo Pamoja Brother. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeees Power
  4. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Kweli kabisa ndugu yangu hata ukiwa hujaenda shule unaeza kuongoza
  5. M

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Umeonaeeeeeeeeeee jimbo hatuliachii hili ni letu tuuuuu na Lema ataendelea kuwa Mbunge wetu. atagombea tena na tutampa kura zetu.
Back
Top Bottom