Recent content by Mwana wa pori

  1. Mwana wa pori

    JamiiForums Sitasahau hiki kilichonitokea Kwa bibi

    Ka Katibu
  2. Mwana wa pori

    JamiiForums Sitasahau hiki kilichonitokea Kwa bibi

    Naam....Naam naona wengi mmepaniki,nadhani hii story acha niipeleke Twitter Kwa watu wazima wenzangu
  3. Mwana wa pori

    JamiiForums Sitasahau hiki kilichonitokea Kwa bibi

    Serious Serious?
  4. Mwana wa pori

    JamiiForums Sitasahau hiki kilichonitokea Kwa bibi

    Hap Hapana mkuu
  5. Mwana wa pori

    JamiiForums Sitasahau hiki kilichonitokea Kwa bibi

    Sasa baada ya kutoa mguu wa kwanza Kisha nikaona Ile damu ikabidi Nipige kelele Kwa nguvu zaidi,maana niliona nikama miujiza ambayo ilikua inaendelea...baada ya kelele zile nilijikuta napoteza fahamu mpaka nilikuja kuzinduka nikiwa nje kwenye mti wa matunda aina ya zambaru huku pembeni yangu...
  6. Mwana wa pori

    JamiiForums Sitasahau hiki kilichonitokea Kwa bibi

    Habari wakuu,kabla ya kuanza Uzi huu napenda kuwapa tahadhari kwamba story hii Haina chembe ya utunzi hata kidogo, Miaka kadhaa nyuma baada ya kuzaliwa nikajikuta nikiwa naishi Mimi,mama yangu mzazi pamoja na baba wa kambo...katika kuishi huko sikua najua kwamba yule baba alikua ni baba wa...
  7. Mwana wa pori

    JamiiForums Mtaalam wa kuuza dawa la dawa muhimu

    Hapana ...Bado mkuu
  8. Mwana wa pori

    JamiiForums Mtaalam wa kuuza dawa la dawa muhimu

    Habari wanandugu Anahitajika mtu wa kutoa dawa Awe mwanaume Umri kuanzia 23-25 Awe na cheti Cha addo Duka lipo Arusha monduli eneo la Engaruka,umeme maji masaa 24,huduma nyingine muhimu zipo Mshahara ni laki mbili,kula ni juu ya ofisi ila sehemu ya kulala ipo Kwa miezi mitatu ya mwanzo tu...
  9. Mwana wa pori

    JamiiForums Mtaalamu wa maabara anahitajika

    Habari....anahitajika mtaalam wa maabara, Sifa, Awe mwanamke, Umri 22-26 Certificate ndo kipaumbele Eneo ni Arusha, 0678600601 0758310601
Back
Top Bottom