Wakuu baada ya Mwalim Seif kutangaza nia ya kuwania Urais Zanzibar, ni dhahiri shahiri Profesa Mbarawa atapita kwa kishindo kikubwa! Prof amezidi kuipaisha nyota yake katika utendaji wenye mafanikio makubwa kwa Wizara alizosimamia zenye kuhudumia Watanzania zaidi ya 58+ Million!
Kwa Zanzibar...
Nia njema hailogwi! Wito wangu ni je TRA wanaujua huu mchezo na hauna halufu ya kukwepa kulipa kodi? Wakinijibu sawa lakini kama kuna mapato yanafichwa kwenye akaunti nyingi nyingi lazima walipe kodi kulingana na makusanyo
Katika kipindi hiki cha watu na taasisi mbalimbali kutakiwa kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi ukwepaji wa kulipa kodi bado upo na ni muhimu kuangaliwa kwa makini
Mfano shule ya msingi au sekondari kuwa na akaunti mbili tofauti inawezekana kabisa wakati wa auditing akaunti moja ikawa inakaguliwa...
Kama ni kweli ndiye alikuwa anaandikia The Economist hakika hafai kuwa nje ya gereza tumepambana sana kumjua mtoa matusi na mharibu taswira ya nchi yetu
Alichokuwa analipwa ili kuchochea hasira dhidi ya Mataifa ya nje na wananchi kisaidie ndg zake
Mshenzi sana na kundi lake lililokuwa...
Tueleze pia waliokuwa madalali wa hiyo miradi
Yote uliyoitaja ilikuwa imeandaliwa kulifanya Taifa shamba la bibi na wachache kuneemeka
Tutajie hao Orphir na uhusiano wao na waraka wa makatibu wakuu
Mchumi gani unakuwa too biased
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.