Mkuu kama umepewa kifuta jasho ili umsafishe umechekewa, Ila nakuagiza urudi muulize hiyo shule ya serikali aliyosoma ni ipi?nakuhakikishia tena anaitwa daudi anetoka kolomije kaja nyanza amefeli akaenda pamba evening class, ukitaka mengi nitafute
Umeanza kwa mbwembwe nikadhani unajitambua kumbe nawe mburula tu, aliekuambia makonda kasoma pamba kakudanganya alisoma evening class mi nimesoma nyanza alikua anaitwa DAUDI.
Kwa hiyo unapokua hujui kitu ni bora ukae kimya,
Na aliekuambia kafanikiwa vita ya madawa ni nani? Unaweza ku ainisha...
Swala sio askofu gwajima kuja na kutueleza kwani sisi ndo tumemuita? Aende akatoe maelezo alikoitwa,
Hili swala tusilishabikie tu kama mahayawani tunahitaji serikali itakayopunguza nafasi kati ya masikini na matajiri, na ili iweze kutimiza hili ni lazima hawa watu wenye ku deal na biashara...
Ninaimani kuwa wengi wetu tunalaani vikali biashara ya madawa ya kulevya,
Kwa tuhuma zinazotoka sasa juu ya makonda si zote tuziamini mf hizo gari zote nimeona zina namba za RC DSM inawezekanaje mtu akafiche gari ya serikali?
Hebu tulete au tutoe mada zenye mashiko sio tu kwakua una bando basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.