Recent content by mwana arsenal

  1. M

    JamiiForums Tanzania John Francisco Nzilanyingi: Fisadi anayekuja kwa kasi zaidi Tanzania

    Mlimchagua Wenyewe Sasa Mnalia Nini ?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu pesa za kujikimu za walimu

    Da Hii Kali Sasa Hata Sisi Tumeripoti Kyela Hakuna Hela Za kujikimu Na Kwa Taarifa Za Chini Chini Kutoka Kwa Mmoja Wa Wakuu Wa Shule Kubwa Kasema Tujiandae Kisaikolojia, Kwan Hata Mshahara Inawezekana Tukaanza Kupata Mwezi Wa 6 Au 7 Maana Serikali Haina Hela
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuuliza Multiple Choice Question katika University Exams: Tunapima nini?

    jamani mcq ni sahihi kabisa kikubwa mtihani lazima uzingatie validity na reability n.k
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha:kinana ni fagio la chuma,azungumza na wanafunzi elimu ya juu,avuna wanachama wapya

    hakuna chuo kikuu njombe mtoa post hakufikiria amewatumia wanafunzi wa o-level na wenye div. 5 eti elimu ya juu tunataka aje vyuo vikuu aone kama ccm ipo imara.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano yaliyotangazwa kupinga maamuzi ya Kamati Kuu ya Chadema ....

    cdm ipo imara nashukuru mungu kanipa uwezo kupambanua mambo ni si kudanganywa na siasa uchuro za ccm
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CHADEMA udom wamerudisha kadi cha chama

    hata warudishe kadi za cdm, cdmitabaki imara
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa CHADEMA udom wamerudisha kadi cha chama

    hata warudishe kadi za cdm, cdmitabaki imara
  8. M

    JamiiForums Tanzania Shibuda atimuliwa kikaoni CHADEMA; Apigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye!

    timua wasaliti wa chama chetu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!

    da i have learn some thing
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kitabia, huyu Sugu hatuwakilishi watu wa Mbeya , anatutia aibu!!

    ndio maana unajiita katikati, sugu jembe na sio hao unaowataja wanatetea chama badala ya raia
  11. M

    JamiiForums Tanzania PICHA: Yaliyojiri Bungeni - Sugu akiburuzwa ili atoke nje ya bunge!

    majanga nchi inaenda mrama
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sugu anatafutwa na Polisi Dodoma ...Amefunguliwa faili na Askari Polisi

    polisi wanaonyesha udhaifu mkubwa sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe atolewa nje ya bunge

    tunategemea umoja wa vyama pinzani kuiokoa nchi yetu.
Back
Top Bottom