Habari zenu wapendwa.
Mimi nna ujauzito wa miezi mitano ila juzi nilihisi maumivu wakati wa tendo la ndoa na jana wakati najisafi niliona mabadiliko ya yale majimaji ya uke yamekua na vichembechembe kama mfano wa chicha nikajua ni fangas wananianza.
Sasa naombeni ushauri wenu nitumie dawa...
Habari zenu wapenwa mi nna ujauzito wa miezi minne tatizo nilonalo ni kwamba naenda haja ndogo mara kwa mara hasa usiku na nikiuhisi tu mkojo nakua navimba chini ya kitovu na kuuma kidogo ila nikishakojoa tu nakua wa kawaida, je hili ni tatizo au kawaida kwa wajawazito?
kila mmoja na dini yake na kama yeye ametoa katka injil halkadhalika nami nimetoa kwa hadithi za mtume wetu nae hasemi kwamatamanio yake ila hushushiwa wahyi, na mola wetu hasemi uongo wala atengui ahadi zake
Hiyo ni kweli wala mungu hasemi uongo na hashindwi na kitu, na hizo tupu zitakua zimewaganda wakat wa kutoka makaburini kuelekea uwanja wa hesabu, na watapoingizwa motoni humo ndani ya moto mzinifu mwanamme atatundikwa kwa uume wake na mwanamke atatiwa ngoeko wawe wananing'inia katka moto...
Habar zenu wadada na wakaka, naomba mnijuze nifanye nini niweze kudum na mpenz na hatimae kufikia ndoa? mana mwenzenu najihis kama sina bahati nikianza mausiano haifiki hata miezi sita yanakufa, au sababu ni mimi kujiwekea msimamo wa kutosex na yoyote? naomba ushaur wenu wana jf, MCHANA MWEMA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.