Ha ha ha ha mnanifurahisha sana... Yaani mkitaka tuzungumzie swala la uandishi humu ndani... Basi wote humu hakuna atakae baki..kwaio wote humu ni vilaza wa BRN kwamaana hyo.
BRN ni mpango wa serikali ulioanzishwa kuleta matokeo makubwa katika secta mbalimbali hapa nchini ikiwemo pia ya elimu.Nikizungumzia kuhusu secta ya elimu pengine inawezekana ikawa imeambana na baadhi ya madhara mfano moja wapo ni competition katika vyuo.Lakin sasa isiwe sababu ya kutudharau na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.