Recent content by mwamsaku

  1. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Simu milioni 30 hatarini kuzimwa kwa kukosa usajili wa alama za vidole

    Serikali ya Mwendokasi, nikama zoezi la kuzima cm feki! .. Kumbe zoezi Feki cm feki zipo kama Kawa.
  2. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Chama cha ACT - Wazalendo chajiondoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Amezoea kutupanga na kututishatisha Jiwe ameipaka kinyesi democrasia yetu Sasa atulie asikilizie halufu yake.
  3. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Butiama: Mashamba ya wasimamizi ya Uchaguzi yaharibiwa

    Hawa watendaji watulie Ndio dawa ya kazi yao na huu upepo uwake ..... Nchi nzima kama walivyofanya Nchi nzima.
  4. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Nini kimemkuta Mtumishi huyu wa Umma? Kwanini inafanywa siri?

    bado inamaneno ndugu Usitupoze!
  5. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Zitto adai ripoti ya TISS yaonyesha Rais Magufuli hawezi kushinda 2020

    Kutomtaka wewe haiwafanyi wangine wasimkubali!
  6. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Kama kibaba hakikujaa ndoo itajaaje? Sababu kuu ya wananchi kugoma na kupuuza kujiandikisha inafichwa makusudi

    Kiufupi Wananchi wamemwelewa jiwe! Toka mwanzo amekua akijiapiza kuufuta UPINZANI.... Sasa kinywa kilekile eti kinahubili Domokrasia!
  7. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kutunga sheria ya kuwalazimisha Watanzania kujiandikisha na kupiga kura.

    Uchaguzi wa 2015 Wananchi hawahawa kwa hiyari yao walikua wanaamka saa 10 alfajili waki wahi foleni! Tunaomba ufafanuzi wa kuwaita watendaji Nchi nzima ulikua na maanagani she? [emoji17]....... Pengine tukaelewa. ............ WaTanzaniasiowajinga.
  8. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Aliyoyasema Jaji Mkuu yanatoka moyoni?

    Wana hofu ya ujio wa Lissu... Uminywaji Haki ni mkubwa! Wamelundika Watu ndani pasi utaratibu wa kisheria kuzingatiwa Ni utawala wa Kibabe, kukoma,jeuri.
  9. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Tujifunze nini kutokana na vita ya baridi ya kibiashara kati ya China na Marekani? Ni ombi langu usome yote

    Napatashida kukuelewa kijana! Awamu hii ya 5 chini ya Rais Magufuli inatuhuma si haba kijana.. : ina Ufisadi mkubwa wa tir 1.5 : kununua Wapizanzani kwa kodi zetu : uwanja wa chato : vitambulisho vy Nida : vitambulisho vy wajasiliamali : na : na : na ndio maana nikasema Unaji kanganya Sana.
  10. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Tujifunze nini kutokana na vita ya baridi ya kibiashara kati ya China na Marekani? Ni ombi langu usome yote

    Siasa ndio mfumo unaotakiwa tuupitie kuelekea huko unakotamani tufike! Vinginevyo utwambie tutumie Mfumo gani wa Kujitawala Kuna zigzag nyingi kwenye hoja zako hasa mwisho Chaajabu hushtuki!
  11. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Sakata la Nassari limeonyesha udhaifu mkubwa katika Uongozi wa CHADEMA

    ANAFAA SANA KWA WAKATI HUU. [emoji682]KATIBU CHADEMEMA.
  12. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Shahidi: Mbowe alitimua mbio kwa kasi, risasi zilipopigwa

    Tantalila za ccm kwenye Maisha Uhai wa Watu.
  13. mwamsaku

    JamiiForums Tanzania Hawa wafuatao kabla ya 2020 kuingia wawe wameshatafuta kazi nyingine

    ccm ni ileile she! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom