[QUOTE=Angel Msoffe; si mkwer.e jamani cha kujiuliza ni lini mk.were akawa kiongozi wa serikali?
watake radhi wakwere fasta! Ujinga wa Kikwete si ujinga wa wakwere wote. Kikwete ni mtz, je tuamini kuwa watz wote wanavichwa kama yeye na fikra kama yeye ukiwemo na wewe?
Na ungana na wewe lkn muda wa serikali moja haujafika kama ambavyo muda wa serikali tatu ushapita. Hakuna namna ambavyo nyerere angetumia demokrasia zaidi ya alivyofanya wakati ule. USHIRIKISHWAJI UNA NGAZI NA MIPAKA. Ni sawa na mwalimu mkuu aliyetmia demokrasia wakati wa kufunga shule kwa...
Unanikumbusha jamaa mmoja ambaye kabla ya kuanza kampeni aliahidi "MAISHA BORA KWA KILA mTZ" baada ya chama chake kumzungusha nchi nzima na kuona tz ilivyo akagundua kumbe TZ siyo Dar es salaam. Do you know what happened? alizimia ghafla alipokuwa akihitimisha kampeni zake baada ya kugundua kuwa...
"Eti hakuna cha kuizuia cdm kuchukua nchi 2015"
Unanikumbusha jamaa alosema "maisha bora kwa kila mtanzania" kabla hajaanza kampeni. Alipozunguka nchi nzima ndipo alipoiona Tanzania halisi akagundua kuwa alikuwa TZ siyo Dar es salaam. Do you know what happened? alizimia alipokuwa akihitimisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.