Dereva Mwingine wa IV kakaa mji kapelekwa morogoro vijijini mashambani huko kaona daraja badala ya kulilenga kabaki analishangaa mpaka kaua wenzake kwa kuwazamisha mtoni!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hapo wanaenda wakiwa na stress za kutosha,, naana naskia koroho zimeanza kuotea gharan,, hapo naamini dc alitaman afe,,, soon utasikia rc nae maana wanakimbiakiambia tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lissu ni mwanasheria nguli, afu ni mwanasiasa mbobezi,, huyu kalamagamba anapungukiwa credit moja, na mota wa Lissu namshauri auotee mbali, vinginevyo ataumbuka kamu yule barozi kule kwa trump
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan pamoja na uwezo mkubwa wakusaidia jamii hawakufanya hivyo, hawana msaada, ndo mana wanafananishwa na wanakijiji,,, maprof wa kibongo baadhi yao ni vapour tu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.